Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Katupiwa fupa ili anyamaze wahuni wasafishe njia kuelekea 2025.

Kama kweli mzalendo akatae tuone.
 
Siye tusio na ajira tunaumia kusikia Mkurugenzi mstaafu ...anateuliwa tena kuwa mkurugenzi pahala pengine!
Hivi inakuwaje mstaafu anarudishwa kazini?

Huku ndio kupeana mashavu sasa. Huku watoto wa maskini waliojikongoja kusoma wanaambiwa waende veta au wajiajiri..
 
Dah! Kweli wahuni sio watu wazuri
 
Halafu IGP wa polisi mstaafu anapewa Ukurugenzi bodi ya Bandari?

Huyu mama huyu....anakotupeleka.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…