Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Wabongo bwana eti wanajifanya hawapeendi upigaji wakati wapigaji ndio hao hao wajomba, mashangazi nk..

Sekta binafsi huko sio Serikali lakini wabongo wakipewa nyadhifa bado tabia ni ileile..

Tunashida kwenye malezi na tabia ya wizi ni shida ya watanzania weeengi...
 

POLEPOLE KUWA BALOZI MALAWI… kuteuliwa tarehe 14.3.2022 kuapishwa tarehe 15.3.2022 ?​

Kwanini ni dharura hivyo? Msechu wa NHC alifukuzwa na JPM na Samia leo anapewa nafasi ile ile na Samia?​

Mwenye kufahamu Samia anakutupeleka anielewesha tafadhali, mimi ninaona kama tunapotea njia.​



Hajafukuzwa na Samia . Raisi pekee ndiyo anafukuza sio na makamu wake! Sio kila maamuzi ya Raisi ni lazima Makamu akubaliane naye. Unafikiri Mpango angemchagua huyu mzee wa Zanzibar kuwa Mbunge😂! Haya ni maamuzi ya Raisi sio makamu
 
Mhh hivi anaweza akakataa ?

Nanusa harufu ya dictatorship fulani ya kuwaziba watu midomo Lukuvi / Kabudi Kazi Maalumu...

Ndugai shinikizo through UVCCM na wengineo..., huyu aliyekuwa anampinga katupwa huko Malawi... Sasa si watabakia tu kina Yes Mam na Machawa !!!

Kweli yajayo sijajua kama yanafurahisha au kusikitisha....
 
Back
Top Bottom