ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Siye tusio na ajira tunaumia kusikia Mkurugenzi mstaafu ...anateuliwa tena kuwa mkurugenzi pahala pengine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIZI anaandaliwa Ubalozi ktk Nchi zenye Mafuta ili Mchakato wa mirija uendelee.At
ateuliwa Riziwani Kikwete
Kaula? Au amepelekwa ekizaili 😅Polepole kamuenzi JPM,kabaki na ulimi mmoja mpaka sasa,na hatimaye kaula.
........DOUBLE STANDARD,,,,,,,,,, Usiumie sana,,,Ahahahahahahaa!!!!!Siye tusio na ajira tunaumia kusikia Mkurugenzi mstaafu ...anateuliwa tena kuwa mkurugenzi pahala pengine!
,,,,,,,MLANGO WA KUTOKEA......Kaula? Au amepelekwa ekizaili 😅
Yeah baada ya miaka 2 anapelekwa mwingine Kwisha habari yake,,,,,,,MLANGO WA KUTOKEA......
POLEPOLE KUWA BALOZI MALAWI… kuteuliwa tarehe 14.3.2022 kuapishwa tarehe 15.3.2022 ?
Kwanini ni dharura hivyo? Msechu wa NHC alifukuzwa na JPM na Samia leo anapewa nafasi ile ile na Samia?
Mwenye kufahamu Samia anakutupeleka anielewesha tafadhali, mimi ninaona kama tunapotea njia.
huyu karudi kimipango licha ya kuja kumalizia alipoishia pale nhcNehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Mie nilijuaga hizo ni ofa za uzeeni baada ya kuupiga mwingi Bongo.Yeah baada ya miaka 2 anapelekwa mwingine Kwisha habari yake
Hiyo nafasi kama ni muhimu na bora ampe Riziwani Kikwete
Chuki tu ndo sababu.... NHC ikipewa Mkopo na kuachwa ijiendeshe nchi yetu ingejengeka sanaNehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Hapana ni mbinu ya kuondoa wasumbufu au watu threat kwa utawala.......Sasa unadhani Polepole ataweka shule ya uongozi Malawi?Mie nilijuaga hizo ni ofa za uzeeni baada ya kuupiga mwingi Bongo.
Huyoo ndoo aliyesimamia ule ujenZi wa gorofa lile refu kule Dubai Kama hujui unajui kikwete ndoo alimkuta kule karudi eneo lake. Ashukuru Safari yamama farume zakiarabu