Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Alikuwa pioneer wa kupinga uamuzi wa serikali yake kuleta chanjo

Sasa. Kapata uteuzi wa kuliwakilisha taifa huko kwa majirani zetu
Kwa taratibu za usafiri na kuingia nchi mbali mbali ni lazima uchanje ...

Najiuliza tu huyu Mhe.Je atachanja ?
 
Hiyo inaitwa "off country repatriation" yaani kamuweka mbali ili anyamaze "asipate pakusemea".
Ila siasa ni mchezo mchafu sana wallah, na hii yote dalili ya hofu kuu.
Emmanuel Nchimbi vipi tangu arudi toka Brazil, yupo wapi?
 
Alikwishatamka tangu awali kuhusu ubunge wao....sio deal kubwa kwake.

Lolote linaweza kutokea kufikia hiyo kesho!

Ila ya mungu ni mengi....watanzania kwa kutojitambua kwetu tunaruhusu kuchezewa kama tiara.

Hapo ndio watu tutaelewa umuhimu wa katiba MPYA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…