Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Hadi muda huu Mh . Pole pole amezima simu.
Mtu wa karibu anadokeza kuwa kesho watamsubiri sana.
 
Watu dizaini ya kina mchechu Wana connection kubwa Duniani,tunataka functioning nhc sio nhc jina afu mzigo.
Hivi Functions za National Housing Corporations ni zipi ?

Utafungua kwamba duniani kote functions ya kampuni kama hii ni affordable housings na sio Accumulations of as much profits as possible (hilo linafanywa na private real estate companies)

The National Housing Corporation (NHC) was established by Act of Parliament No. 45 of 1962. Its establishment was a government response to mitigate the housing problem that faced the majority of African urban dwellers.
 
J. K mwenyewe ukimuangalia utasema sio yeye anayesemwa hapa.

Kwahiyo majipu yote yanarudishwa taratibu tena Kama kina makamba?
Makamba mpaka anarudishwa kwa mtazamo wangu alikuwa na sifa za kuwa waziri, nishati ndio imetuonyesha kumbe na yeye ni jipu.

Nape ni kiongozi mzuri ni progressive thinker anastahili uwaziri, tatizo lake ni kudhani lazima awe kiongozi wa juu by birth rather than his ability.

Nehemia ni purely J.K decision ndio anamwamini, but then huyo mtu na maswala ya business management wapi na wapi. Mtu wake hana uwezo wala ubunifu ata nyumba zake sio value for money.

Ebu apime costs za nyumba za Magomeni, za jeshi la polisi na magereza zilizojengwa majuzi; na gharama za nyumba alizojenga Nehemia za size hiyo hiyo tena nje ya dar waone tofauti ya cost jinsi nyumba zake zilivyo ghali on cost per unit.
 
Hivi Functions za National Housing Corporations ni zipi ?

Utafungua kwamba duniani kote functions ya kampuni kama hii ni affordable housings na sio Accumulations of as much profits as possible (hilo linafanywa na private real estate companies)...
Hivi toka 2015 hadi 2020 nhc limejengea watu nyumba affordable kiasi gani? 😬😬
 
Wahuni siyo watu.ukifanya ligi na wahuni inabidi uwatangulie maarifa

Otherwise unageuzwa wewe kuwa mhuni
 
Toka ilipotoka taarifa za uteuzi, nimepita kwenye mitandao kadhaa hakika ingekuwa ni malipo pale jina lako linapotajwa au kuandikwa, basi leo Balozi (2b) Humphrey Polepole angeweza kuchukua pesa nyingi sana.

Mpaka saa 19:00hrs ametajwa zaidi ya mara 16742!.
 
Hiyo inaitwa "off country repatriation" yaani kamuweka mbali ili anyamaze "asipate pakusemea".
Ila siasa ni mchezo mchafu sana wallah, na hii yote dalili ya hofu kuu.

Hata Nyerere alikuwa anawapeleka mbali waliokuwa tushio some kind of game [emoji23]
 
huyu muhuni tuu, kama wahuni wengine, kwanini hakuthubutu kujidomolesha enzi za magu?
 
Nimesoma comment yako bila kujua poster ni nani then ikanikumbusha avatar yako, uzuri kumbe vyote ni kitu kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…