peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hadi muda huu Mh . Pole pole amezima simu.
Mtu wa karibu anadokeza kuwa kesho watamsubiri sana.
Mtu wa karibu anadokeza kuwa kesho watamsubiri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hizi code nina wakika wachache ndo tutakuelewa unacho maanisha......Akikataa Uteuzi wa Rais kesho kutwa yule Muandishi wa Barua ya Mnyika ya kuteua Kina Halima Mdee na ya kujiuzulu Ndugai anaingia Jikoni na huwa hakosei mapishi
🔉aliye🔇 angepelekwa Puerto WilliamsKapelekwa uhamishoni kiaina.chezea CCM weye.
Hivi Functions za National Housing Corporations ni zipi ?Watu dizaini ya kina mchechu Wana connection kubwa Duniani,tunataka functioning nhc sio nhc jina afu mzigo.
Pengo kubwa sana !Akirudi huko Kesha zeeka.
Sasa shule ya Uzalendo na #kataawahuni nani atafundisha.
View attachment 2150466
View attachment 2150467
Atakwenda saa 10 jioni kwa kisingizio kuwa alijua 4 :00 ya kiingerezaHadi muda huu Mh . Pole pole amezima simu.
Mtu wa karibu anadokeza kuwa kesho watamsubiri sana.
Unaijua VIEITE wewe ?Lile darasa la uongozi ndio bye bye[emoji28]
Makamba mpaka anarudishwa kwa mtazamo wangu alikuwa na sifa za kuwa waziri, nishati ndio imetuonyesha kumbe na yeye ni jipu.J. K mwenyewe ukimuangalia utasema sio yeye anayesemwa hapa.
Kwahiyo majipu yote yanarudishwa taratibu tena Kama kina makamba?
Hivi toka 2015 hadi 2020 nhc limejengea watu nyumba affordable kiasi gani? 😬😬Hivi Functions za National Housing Corporations ni zipi ?
Utafungua kwamba duniani kote functions ya kampuni kama hii ni affordable housings na sio Accumulations of as much profits as possible (hilo linafanywa na private real estate companies)...
Wahuni siyo watu.ukifanya ligi na wahuni inabidi uwatangulie maarifaHe will win who knows when to fight and when not to fight.
Sun Tzu
Nadhani hapa ni Check Mate...., aende akafe politically au abaki aendelee na msimamo wake wahumi waendelee kumlia Timing...
Nadhani kama akibaki ajitoe kwanza CCM na aanze kuwachana live hawa wahuni (maybe it may payoff long term)
Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Nimecheka sana😂😂😂😂Dodoma sasa tunapelekwa Pemba
Hivi huyu kiumbe yupo wap??Asipoenda anawekwa kizuizini kama Nd*gai
Kesho msipomuona ikulu ndio mtajua aliko.Hivi huyu kiumbe yupo wap??
Hiyo inaitwa "off country repatriation" yaani kamuweka mbali ili anyamaze "asipate pakusemea".
Ila siasa ni mchezo mchafu sana wallah, na hii yote dalili ya hofu kuu.
..asipoenda kuapishwa, bungeni atakwenda?Kesho msipomuona ikulu ndio mtajua aliko.
Nimesoma comment yako bila kujua poster ni nani then ikanikumbusha avatar yako, uzuri kumbe vyote ni kitu kimoja.POLEPOLE KUWA BALOZI MALAWI… kuteuliwa tarehe 14.3.2022 kuapishwa tarehe 15.3.2022 ?
Kwanini ni dharura hivyo? Msechu wa NHC alifukuzwa na JPM na Samia leo anapewa nafasi ile ile na Samia?
Mwenye kufahamu Samia anakutupeleka anielewesha tafadhali, mimi ninaona kama tunapotea njia.