Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Teuzi Kama hizi huwa Ni maalum ili kukuondolea umaarufu na kukufilisi kijanja.

Ukishakua nje ya nchi attention yako inakua Ni ndogo mno, pia Kama una vimiradi vyako ulianzisha lazima viyumbe.
Ukija kurudi bongo, unakua Kama ndo unaanza upya.

Mfano mzur muone Dr. Slaa na mabalozi wengine walio wastaafu walio nje ya mfumo, yaan utadhan ndo wanaanza maisha😊
 
POLEPOLE KUWA BALOZI MALAWI… kuteuliwa tarehe 14.3.2022 kuapishwa tarehe 15.3.2022 ?​

Kwanini ni dharura hivyo? Msechu wa NHC alifukuzwa na JPM na Samia leo anapewa nafasi ile ile na Samia?​

Mwenye kufahamu Samia anakutupeleka anielewesha tafadhali, mimi ninaona kama tunapotea njia.​

KWANI TULIKUWA TUNAENDA WAPI?
 
Back
Top Bottom