Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Inaonesha kabisa Mama hataki mtu yeyote wa Magufuli na kwa hesabu yao wanaona Pole pole atawapa challenge! Sasa kwa kifupi katumbuliwa huko ni kumpeleka tu akajinyonge mwenyewe! Kama anajiamini amtake Rais asichukue nafasi yake! Ila tofauti na Hapo ndo kashapotea huyo!
 
Nehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Lands minister William Lukuvi announced in December that he was suspending Mr Mchechu to pave the way for investigations into various allegations which include abuse of office. Mr Lukuvi then tasked the NHC board of directors under the leadership of Ms Nyoni to conduct the investigations and handover the report to him.
 
Alichofanyiwa slaa kitamkuta na huyu..hakai huko mda mrefu ..huenda 2025 isimkute huko..
 
Kutoka mshahara milioni 12, posho laki tatu kwa kikao, mafuta Lita 1000, ziara za kukagua miradi nchi nzima.....politically finished
 
dah ..yote yanafanyika kabla ya siku ya kumuenzi baba..kweli msoga hawana jambo dogo..mama anacheza karata zake kwa mwendo wa kizenji haha..imagine at once alivochukua nyumba angewatoa wanaume wote hao kwa pamoja..amewapunguza nguvu taratibu
 
Inasemekana Polepole amekataa kwenda Malawi. Eti ni mbali sana kutoka Chattle!!
POLEPOLE KUWA BALOZI MALAWI… kuteuliwa tarehe 14.3.2022 kuapishwa tarehe 15.3.2022 ?

Kwanini ni dharura hivyo? Msechu wa NHC alifukuzwa na JPM na Samia leo anapewa nafasi ile ile na Samia?​

Mwenye kufahamu Samia anakutupeleka anielewesha tafadhali, mimi ninaona kama tunapotea njia.​

 
Haendi huyu,anakataa ,mtaona kesho kama atatokea kuapishwa,na akienda malawi...kwisha habari yake...
Ameteuliwa leo na kuapishwa ni kesho..yani hajapewa hata nafasi ya kujitafakari kuhusu uteuzi....na pia ameteuliwa kuwa balozi na hapo hapo vuai nahodha ameteuliwa kuchukua nafasi ya pole pole...amepewa options ngumu sana hapo polepole..lazima akubali tu hio teuzi maana mbadala wake ameshateuliwa tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom