Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Anaapishwa kwa dharura. Kwani muda wote alikuwa anakula wapi au anaishi wapi hsdi akimbilie ubalozi wa ghafla ?
 
hapo mr slow anasifu na kuabudu hakuna tena shule ya uongozi.
 
Angempeleka urusi au south sudan
 
Hata mimi naona atose uteuzi kwani watu wangapi wanaishi bila kutegemea uteuzi! Kama atakubali kwisha habari yake! Maana aliyemteua hana nia njema na yeye! Atajilisha upepo tu hata kama ataenda huko!

Huu mchezo ukiendelea ,Dr Bashiru anapelekwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.​

Polepole kataa huu uteuzi.​

 
Huyu mchechu amewekwa pale ili akapige vizuri
 
kudadeki, pale aisee, duh? kwahiyo jamaa anaenda malawi. ila anabahati sana ashukuru Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…