Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Kijana mfupa hauwezi bora aende zake Malawi akale mema ya nchi, baada ya hapo apelekwe Afghanistan, Bulgaria na Mongolia....

Vita na hao wazee wa SAIGON bwana mdogo Polepole haiwezi, Hiyo vita kaipigana Lowasa kashindwa kutimiza ndoto zake na wamemtuliza, nk nk...Polepole bado sana..sema tu ndio vile tu wazee wa saigoni hawapendi kelele....vyeo vipo vingi...wangeweza kumuweka benchi na bado asingewafanya kitu...
 
Mimi kama mmoja wapo wa maprofesa wa UDSM nakuhakikishia Rais samia hateui mtu bila kushauriana na mzee wa msoga. Kama mwanamke akatae aone kama atatoboa 2025.
 
polepole pengine ingekua ngumu Mana ndio aliinjinia ukwapuaji wa matokeo ya uchaguzi na usukwaji wa covid 19
 
Agosm wapo kazini..timu yake yote inarusishwa kupitia sa100 ili upigaji uendelee..hakuna cha kazi iendelee ni upigaji uendelee..

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…