Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

Hilo ndilo genge la mafisadi,kipindi cha jpm yalipukuchuliwa,baada ya operation kukamilika,sasa ni kula bata tu,
Wangekuwa mafisadi basi wangekuwa wamehukumiwa na Mahakama. Magufuli alikuwa hapendi watu wenye akili. Yeye alikuwa anapenda kuzungukwa na mazwzwa kama Prof Kabudi, Aggrey Mwanri au Makonda
 
Back
Top Bottom