UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

Malawi ampelekee mwalimu mpwayungu village
 
Mimi nikisikia jina Pole Pole huwa nakumbuka haya......
- kauli yake ya nyodo iliyo trend "Hivi wewe unaijua vieiteeeee?"
-Kale kakitanda kadogo kakihuni kalikoonekana kwenye gheto lake baada ya kuibiwa flat screen yake halafu wahuni mitandaoni wakasema kumbe Pole Pole naye ni muhuni tu.
 
Yasemekana ndiye aliyepeleka kimbunga Malawi, wameona Bora wampeleke mbali, Kwan lengo kuu lilikuwa ni kukileta huku Tanzania.
 
Atakuwa alikuwa anatorokea mbeya kuja chap kufanya mipango ya umoja party na kurud .. sasa mzee issue za Cuba ukafanye siasa za ujamaa huko ndio umeisha hivo🤣🤣🤣
Ila polepole atafaidi cuba kuna pisi kali. Tena mabantu figure pure na mix mazuri kupita maelezo. Kwa kifupi tu chakubanga kaula .
 
Tuna katiba ya kuteua na kutengua tu. Halafu linapokuja suala la kuwashughulikia wala rushwa na mafisadi, katiba hiyo hiyo huwageuza watawala kuwa walalamikaji.
Iwapo katiba ingekuwa huru kushughulika na mafisadi kwa viwango hivi,uchumi wetu ingekuwa unakimbizana na ule wa wa Korea hivi leo🤔
 
Toka maktaba : konseli mkuu Iddi Seif Bakari

Consul General of Tanzania​



A-AA+
DUBAI, 28th March, 2022 (WAM) -- Rashid Abdulla Al Qaseer, Deputy Director of the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation (MoFAIC)’s Dubai Office, has met with iddi Seif Bakari, Consul General of the United Republic of Tanzania in Dubai and received his credentials
 
Uyu kipenyo ulimjua kabla au baada ya kupelekwa chama kama mwenezi?

NGO kule alikuwa anazuga
 
Mbona mnaweweseka mkimsikia shujaa polepole?
Hahahha Bora ungesema Mangula au Ndugai ila Polepole ndio amuangushe Samia? Hahahaha huyo ni non-starter ndio maana vipindi vyake vilifungiwa na hakufurukuta. So kapewa cheo Ili hasira ziishe na sio kwamba eti atamuondoa Samia. Trust me hiyo 2025 Polepole atapanda jukwaani kumpigia kampeni Samia nchi nzima.
 
Hao ndo wanamfanya raisi asilale pengine
 
Na bado, tunamsogeza China akaelezee zile Hela zilifikaje huko, China huwa wanapita na shingo
 
Uyu kipenyo ulimjua kabla au baada ya kupelekwa chama kama mwenezi?

NGO kule alikuwa anazuga
Hivi nani kawadanganya TISS wote Wana kauli moja? Hata huko Kuna power struggles.... na sio TISS tu hata CIA au FBI Kuna kupishana strategy, uasi, usaliti, kutupwa nje ya mfumo n.k otherwise kina Marando au Mrema wasinge fall out or rather Seif asingekosana na establishment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…