Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Kwisha habari yake jibwa lile. Aende kwa Castro huko, na akileta za kuleta......Watanzania wengi wivu na majungu huwa vinalimit na ku influence aina ya kufikiria kwenu. Kwanza mlidai katupwa ka nchi kadogo Tu kaafrica. Sasa kahamishwa kwenda Cuba ningezani mngesifia kuwa bado anatambulika, Ila mnakuja na hoja za kikombe kipo nusu empty Badala ya kimejaa nusu. Msiwaze mbali sana wabongo. Maisha Kama Sio yako binafsi huwezi kuyapangia na kuyapatia.
Wapumbavu mpo wengi sanaI see Polepole on the way to Presidency, soon or later.
I'm so optimistic that we need a person like him.
Ngoja aende semina.
Msoga/Chaga Gang.... Narudia kuwaambia, Msipoitaka Radhi Familia ya JPM, muda UTAFIKA tu na mtakubali.Harakati zake za kuipinga CCM na mambo yake ziliishia wapi?
Hayo ni maweweseko yenu na ngenga zenuu. Hakuna pahala alisema atamtoa madarakani. Polepole huwezi mfananisha na huu ubishi wenuuu. Polepole hakamatiki hata kidogoo Nia yenu mlijua chama Cha CCM makada watagombana, mtasubirii saanaa. CCM tuko imara na tuwamojaa, Nia yetu ni mojaa tuuuu, kuwagaragaza nyie wabishi wa maendeleoHahahha Bora ungesema Mangula au Ndugai ila Polepole ndio amuangushe Samia? Hahahaha huyo ni non-starter ndio maana vipindi vyake vilifungiwa na hakufurukuta. So kapewa cheo Ili hasira ziishe na sio kwamba eti atamuondoa Samia. Trust me hiyo 2025 Polepole atapanda jukwaani kumpigia kampeni Samia nchi nzima.
Ni jambo jemaWapumbavu mpo wengi sana
Matusii yenu ni kelele za mlango tuuu. Shujaaa polepole ni hazina Kwa TaifaWapumbavu mpo wengi sana
Acha uongo, Samia mwenyewe kasema wahafidhina mlikataa asifanye maridhiano kivipi Leo mjifanye mko united? Mlimtumia Ndugai kupima upepo mlivyopigwa za uso mkapoteana. Nasema hivi ndani ya CCM hakuna wa kumchallenge mwenyekiti akabaki salama, unless muanzishe chama otherwise mtaruka ruka tu mtaishia kuomba msamaha 2025Nia yenu mlijua chama Cha CCM makada watagombana, mtasubirii saanaa.
Hana ushawishi. Anatukumbusha mambo ya ovyo ovyo kuhusu uchaguzi na kuhonga wapinzani. Yeye Polepole na genge lake waliharibu bunge na ofisi ya CAG katika kudhibiti matumizi ya serikaliMovement zipi Mkuu? Polepole ni nzi tu CCM hakuwa hata na miaka 5 so Hana hiyo power mnayofikiria anayo. Kahamishwa Ili tu asipige kelele awe busy muda wote ila Sio kwamba ana uwezo wa kushawishi chaguzi za 2025.
Kama kinana, makamba, membe n.k walikua na miaka zaidi ya 40 CCM walitulizwa na JPM walipotaka kumuondoa 2020 ndio sembuse Polepole na Bashiru waliokaa 5 years pekee?? Mkuu CCM Ina wenyewe na ndio waliokamata serikali so hao kina Kabudi, Polepole na Bashiru ni wageni tu
CCM hawapingani wanaimarishana kwa tofauti za hoja.Harakati zake za kuipinga CCM na mambo yake ziliishia wapi?
Hizo ndo miweweseko yenu wapinzani. CCM Iko imara kipindi chote. Mgawanyiko na mipasuko ndani ya CCM mtasubili saana. Ushindi wa CCM uko pale paleee Hadi miaka 1000 ijayooo.Acha uongo, Samia mwenyewe kasema wahafidhina mlikataa asifanye maridhiano kivipi Leo mjifanye mko united? Mlimtumia Ndugai kupima upepo mlivyopigwa za uso mkapoteana. Nasema hivi ndani ya CCM hakuna wa kumchallenge mwenyekiti akabaki salama, unless muanzishe chama otherwise mtaruka ruka tu mtaishia kuomba msamaha 2025