zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Subiri 2025 mnadhani nani atachagua huyo Bibi yenu aliyefeli Kila kitu? Mkiweka na wabunge wote ni CCM na hakuna kitu wamefanya basi hizo kampeni sijui mtapigia wapi maana mtazomewa Kila mtakapopita.Hizo ndo miweweseko yenu wapinzani. CCM Iko imara kipindi chote. Mgawanyiko na mipasuko ndani ya CCM mtasubili saana. Ushindi wa CCM uko pale paleee Hadi miaka 1000 ijayooo.
Wivu utakumaliza wewee Kwa taarifa yako hakuna hata mtaa mtakaopata hatakidogo na ucharaa wenuuSubiri 2025 mnadhani nani atachagua huyo Bibi yenu aliyefeli Kila kitu? Mkiweka na wabunge wote ni CCM na hakuna kitu wamefanya basi hizo kampeni sijui mtapigia wapi maana mtazomewa Kila mtakapopita.
Anapotezwa kwakupelekwa Cuba, unajua vizuri mahusiano ya Cuba na Tanzania au umezaliwa juzi?Huyo kashapotezwa kwajili ya jeuri kwa kutokuwa na uwezo wa kuishi na utawala mpya, Siasa ni sayansi, raisi mpya inabidi uende nae kwa style yake hata kama ni kumkosoa,
Jifunze kusoma mambo na kuelewa mambo. Utajidumaza kwa kuwa unamfikiria JPM tu ambaye hayupo tena kwenye maisha yako. "Kutumbua" kwa sababu ya kushindwa kazi ni tofauti na kuhamisha hamisha. Post hiyo uliyokwote ungeisoma kwa kutumia akili ungeona inasemaje, wewe umeisoma ukiwa unaota JPM tu. Utapata ugonjwa wa moyo bure kwa kumfikiria marehemu kila siku.Ila alipofanya JPM it was okay kutumbua almost Kila wiki? Hizi double standards haziwezi saidia taifa letu.
Hamna kitu Mpina, Hana hiyo nguvu hivi ana hata Hela za kampeni za ubunge achilia Urais? Hivi kweli Mpina ndio wakumtisha JK na Kinana 😂😂😂. Ila sukuma gang kweli mmeishiwa, walau mngemtanguliza Ndugai au Kabudi ningeona mko serious. Huyo Mpina 2025 atakatwa kura za maoni na itakua imeisha hiyo na akienda upinzani watampora tu kama walivyomfanyia kafulila 2015!!Hivi Kwa Uwezo mkubwa Alonao Luaga Mpina, Kwa CCM hiii ya wajumbe , Luaga singeshinda Kwa Kishindo kikuu?. Ila kulinda Maisha yake, Jina lake likalazimika kukatwa, ili muwaaminishwe Sasa kua Luaga, mmemuweza
Nani kakwambia Dola ni wasafi? Kwani Mwinyi alipotawala miaka 10 hakukua na ufisadi system ilikua wapi?! Au JK alipotawala miaka 10 hakukuwa na ufisadi? System iliofanya Nini? Hivi si ndio hao Polisi tumeambiwa wameiba billions?? Hivi si huko nyuma kulikuwepo ufisadi JWTZ kupitia Deep Green na Meremeta? Kama unadhani system ni wasafi basi unajidanganya hao ndio mafisadi kuliko wanasiasa.Ila aminin nawaambia, wakukaa Kwa kutulia ni Nyinyi !!. Kama mnadhan Dola itaendelea kuvumilia Ufisadi na Wizi mnaoufanya Sasa, imekula kwenu !!. AMKENI
Ohoooo, Wee uchadema umekupa upofu !!.Hamna kitu Mpina, Hana hiyo nguvu hivi ana hata Hela za kampeni za ubunge achilia Urais? Hivi kweli Mpina ndio wakumtisha JK na Kinana 😂😂😂. Ila sukuma gang kweli mmeishiwa, walau mngemtanguliza Ndugai au Kabudi ningeona mko serious. Huyo Mpina 2025 atakatwa kura za maoni na itakua imeisha hiyo na akienda upinzani watampora tu kama walivyomfanyia kafulila 2015!!
Kimsingi Polepole haamini kwenye uwezo wa Samia! Kimsingi Polepole anajua fika kuwa Samia anawatu wanajiona deep state hivo wanamperekeshaHuyo kashapotezwa kwajili ya jeuri kwa kutokuwa na uwezo wa kuishi na utawala mpya, Siasa ni sayansi, raisi mpya inabidi uende nae kwa style yake hata kama ni kumkosoa,
Kwani mpaka adhalilishe mtu hadharani ndio muone kamtumbua Kwa kukosea kazi? Hivi si juzi tu Mama Samia kasema balozi zimefanya ufujaji mkubwa wa pesa Sasa kwanini reshuffle zikifanyika mnaona ni makosa? Hivi Kuna mtu alikua anahamisha watu kama JPM alisema ally hapi ameshindwa kazi Kinondoni ila hapo hapo akampa mkoa wa iringa badala ya kumtumbua kama unavyosema.Jifunze kusoma mambo na kuelewa mambo. Utajidumaza kwa kuwa unamfikiria JPM tu ambaye hayupo tena kwenye maisha yako. "Kutumbua" kwa sababu ya kushindwa kazi ni tofauti na kuhamisha hamisha. Post hiyo uliyokwote ungeisoma kwa kutumia akili ungeona inasemaje, wewe umeisoma ukiwa unaota JPM tu. Utapata ugonjwa wa moyo bure kwa kumfikiria marehemu kila siku.
Kwenye maridhiano kuna kipengele Cha zoning..... Kuna kata na majimbo lazima yarudi upinzani kwa kuweka wagombea weak wa CCM kwa spirit ya maridhiano kama ulivyoona kule Pemba kwenye uchaguzi mdogo.Wivu utakumaliza wewee Kwa taarifa yako hakuna hata mtaa mtakaopata hatakidogo na ucharaa wenuu
Acha kelele twambie kwanza pesa ya please bargaining ipo wàpi? Unamtisha nani sasa?Msoga/Chaga Gang.... Narudia kuwaambia, Msipoitaka Radhi Familia ya JPM, muda UTAFIKA tu na mtakubali.
Haya mambo hayatokei tu kimiujiza !!
Kuna watu wanalazimika kutengwa na kua nje ya Mfumo sinkwa sababu nyingine, Bali Kwa lengo kubwa liliko mbele.
Luaga Mpina, alikatwa Jina sio?. Mkapiga yowee, Mpina kakomeshwaaa ,Sasa atulieee.
Hivi Kwa Uwezo mkubwa Alonao Luaga Mpina, Kwa CCM hiii ya wajumbe , Luaga singeshinda Kwa Kishindo kikuu?. Ila kulinda Maisha yake, Jina lake likalazimika kukatwa, ili muwaaminishwe Sasa kua Luaga, mmemuweza !!.
Ila aminin nawaambia, wakukaa Kwa kutulia ni Nyinyi !!. Kama mnadhan Dola itaendelea kuvumilia Ufisadi na Wizi mnaoufanya Sasa, imekula kwenu !!. AMKENI !!.
Ndo haya ya Mh Polepole Sasa !!.
Mlipoambiwa mgombea binafsi na tume huru mlituona wajinga Sasa unadhani kwa tume hii huyo Mpina akigombea kupitia upinzani atashinda? Acheni mihemko huyo Mpina nakuhakikishia ataenda ikulu kuomba msamaha kama Ndugai ndio mtaelewa kwamba Mpina Ni nzi tu huko CCMOhoooo, Wee uchadema umekupa upofu !!.
Malawi ilikua karibu sana ,wenda bado alikua anaendeleza mambo ya kistupid ya mwenda zake , ubarozi ni kifungo cha nje japo ni cheo kikubwa , mastupidi yanakoma sasa kwenye kivuli cha ubalozi ,sasa katupwa CUBA USTUPID ATAUFANYIA WAPIMhe. Balozi Humphrey Herson Polepole amehamishiwa nchi kubwa ya Cuba.
Balozi anaimarishwa kiitikadi kwa malengo mapana ya muda mrefu ujao.
Nadhani anaenda kuweka rekodi nyingine mpya kiutendaji.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Cuba yenyewe imepitisha haki za mashoga
Zile zilikuwa harakati za kutetea tumbo lake.Harakati zake za kuipinga CCM na mambo yake ziliishia wapi?
Alipokuwa Malawi kutwa alikuwa Tanzania Hangaya akaona atamletea shida ndio maana kampeleka mbali huko ili awe anasikika kwa nadra na soon atamtumbua ampoteze kabisa kwenye ulingo wa siasa.Mhe. Balozi Humphrey Herson Polepole amehamishiwa nchi kubwa ya Cuba.
Balozi anaimarishwa kiitikadi kwa malengo mapana ya muda mrefu ujao.
Nadhani anaenda kuweka rekodi nyingine mpya kiutendaji.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Basi kumbe akina Wassira, Lowassa, Sumaye, Kingunge, Kafulila, Mashinji, Machali, Gekul, Waitara, Nyalandu, Bashiru nk wasinge pokelewa CCM.Huyo kashapotezwa kwajili ya jeuri kwa kutokuwa na uwezo wa kuishi na utawala mpya, Siasa ni sayansi, raisi mpya inabidi uende nae kwa style yake hata kama ni kumkosoa,
Mwishowe atapigwa chini mazimaTuliosomea Cuba tunaelewewa.
Mr pole pole kapelekwa mbali na Tz kusudi kuvuruga zile movements zake za chini chini.
Maana ilikuwa haipiti mwezi bila kuja Tz.
Next stage watamla kichwa kabla ya 25.
Japo, hii itakuwa risk kwa SSH.
Maana watamrahisishia mipango yake.