Ulimwenguu
Member
- Apr 11, 2023
- 7
- 22
Wangechaguliwa wakristo wote 8 kwako binafsi na kwenye ukristo kungekuwa na faida Gani?Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Mkuu umeona mbali sana
Uteuzi unazingatia sifa na vigezo tuu, sio jinsia, dini, Kanda au kabila. Hata ikitokea wateuliwa wote wakiwa dini moja au kabila moja, let it be!.Hata ingekuwa 8/1 ni haki maana waislam ni wachache sana hapa Tanzania compared to Christians.
Ulipaswa kuanza kujiuliza kwanini marais wote wakristo wamefariki kwa vifo tata.?Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!
Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu
Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.
Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Rafikiangu hizi ni fikira dhaifu sana. Hivi nani alikwambia dini ya mtu huwa ina impact kwenye maisha yeyote? Siku ukineemeka kwenda mbinguni kawaulize nabii Eliya na Danieli wao kama mtu 1 wasio na dini yeyote isipokuwa wenye Mungu (wa kweli) mioyoni mwao waliwezaje kubadili mifumo yote ya Serikali za Israeli na Babeli zilizokuwa na wenye dini maelfu kwa maelfu?Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Ofisi za ubalozi 80% ni Askari, TISS, JWTZ au Polisi.Mwanajeshi wanampeleka wapi? Au kuna msukule Bundi analeta shida?
nchicho ulichokiona. Hao wakristo wangewekwa watakusaidia nini. Fanya shughuli zako hizo ni akili za kimaskini. Umejaa roho ya chuki na ubaguzi utaishi kwa shida sanaWaislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Kufanya kazi bila kustaafu ni dalili ya shida tu.Nchi Hii kustaafu Ni umejitakia
Ni kulina asali mpk unaingia kaburini[emoji4]
Mataahira yalikuwa yanamlaumu hayati kwamba anateua sana wajeda, sasa hiki nini?View attachment 2630773
Meja Jenerali Ramson G. Mwaisaka ameteuliwa kuwa Balozi, awali alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ)
Amemteua Meja Jenerali Paul K. Simuli kuwa Balozi, awali alikuwa Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Wananchi (JWTZ)
Mohamed Awesu ameteuliwa kuwa Balozi, awali alikuwa Konseli Mkuu wa Konseli ya Tanzania Nchini Saudi Arabia
Pia, Rais amemteua Gelasius Byakanwa kuwa Balozi, kabla ya uteuzi alikuwa Afisa Mkuu wa Ubalozi wa Tanzania-Korea Kusini
Dkt. Mohamed J. Abdallah ameteuliwa kuwa Balozi, awali alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais amemteua Hassan Mwamweta kuwa Balozi, kabla ya uteuzi alikuwa Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi na Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania Uturuki
Imani S. Njalikai ameteuliwa kuwa Balozi, awali alikuwa Afisa wa Mambo ya Nje Mkuu na Msaidizi wa Waziri Mkuu-Hotuba
Hamis M. Omar ameteuliwa kuwa Balozi, kabla ya uteuzi alikuwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu, Ubalozi wa Tanzania Ufaransa.
IKULU TANZANIA
Ushushu utaufanya USA kweli? Unaanzaje? Labda BurundiOfisi za ubalozi 80% ni Askari, TISS, JWTZ au Polisi.
Ubalozi ni pamoja na USHUSHUSHU kiongozi wangu.
hhahaaaa soma ule mkuu wanguuNchi Hii kustaafu Ni umejitakia
Ni kulina asali mpk unaingia kaburini[emoji4]
Na mie nashangaa hapo.Mabalozi wa nchi zipi, au wa nyumba kumi kumi?
Wataletwa wavaa barakashia, wee subiri uonee hapoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!
Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu
Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.
Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Mbna waislamu ndo wanaongoza kwa wizi, utapeli, ubadhirifu etc.Kwanza ndio hata wamewalazimisha hata Waislamu kuwa wezi,sio hulka Yao..
Huku Kwa Wakristo hakuna hata hofu ya Mungu ni waigizahi ndio maana wanaishia kuwa Majiji,makatili na wasiojali utu wa wengine na Haki..
Hili jambo Huwa nimekuona hata maofisini japo shida ya Waislamu Baadhi Yao ni kutaka Kila mtu afuate dini Yao but Kwa walioelimika Wana nafuu Wakiwa mabosi kuliko Hawa wa dini yetu.
Afu tek yote twanunia China, Israel, Ufaransa, MarekaniUshushu utaufanya USA kweli? Unaanzaje? Labda Burundi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio nimecheka balaaaa..Ushushu utaufanya USA kweli? Unaanzaje? Labda Burundi
Aiseeeeee !!!Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!
Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu
Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.
Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?