Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Hongera kwake, ni kazi yenye majukumu mazito sana.

Allah amjaalie hekima, busara, weledi na aifanye kazi yake kwa uadilifu mkubwa bila kuonea mtu.

Ni madaraka mazito sana.
 
Kwa jamii ya waelewa ungekuta tangu Jana ile cv yake ingemwagika watu waone?
 
hapa kwake pana space ya kutosha tu hata helcopter inatua bila shida.
Mmmm
Hongera kwake, ni kai yenye majukumu mazito sana.

Allah amjaalie hekima, busara, weledi na aifanye kazi yake kwa uadilifu mkubwa bila kuonea mtu.

Ni madaraka mazito sana.
Mombo anasifa hizo zote wala shaka hakuna,Naamini kwa utulivu wake na akili nyingi za busara basi mambo yatakuwa Mazuri.
Labda sasa Rais Samia anaweza kupumua nakufanya majukumu yake vizuri. Mana Tiss ilikuwa haina utulivu kabisa.
 
TISS ya mwendazake ilikuwa inafanya kazi kinyume kabisa na falsafa za mama Samia, hilo halina shaka.
 
Acha uongo aliyemkatalia ponda kuweka kipengele cha dini ni kikwete na sio maskofu
Jiulize kwanini samia rais muislamu hakuweka iko kipengele cha dini

Na nikusaidie kipindi cha kikwete rais muislamu mashehe wengi sana walifunga na kuwekwa korokoroni
 
Mvinyo ni ile ile ya siku zote, isipokuwa hapa inayobadilishwa ni chupa tu.

Watanzania wanataka Mvinyo Mpya iliyowekwa kwenye chupa mpya.
 
Mi siku hizi wananiita Juma bhalo kila kitu najua mimi maana wakileta stor za mapenzi nimo burudani nimo siasa nimo afya nimo kifupi mada yoyot ikiletwa mbele yngu akili chapu inahamia jf
 
UBAYA ni kuwa viongozi hao sijui kama wapo jf au wanaweka watu kufuatilia wanavyosemwa online
 
Jamaa alikuwa anaandika mlokole abadilishe au kubadilika nn
 
WA TANZANIA NI WASAULIFU ILA KILICHOMTOA SIWA NI ISSUE YA SATIVA KASHINDWA FUATILIA ALITEKWA NA NANI NA MAMA HATAKI DAMU SASA MILLION 35 KUONDOKA HIVYI HIVYI NI UJINGA
 
Mi siku hizi wananiita Juma bhalo kila kitu najua mimi maana wakileta stor za mapenzi nimo burudani nimo siasa nimo afya nimo kifupi mada yoyot ikiletwa mbele yngu akili chapu inahamia jf
Ahahahah..ni sahihi mkuu, taarifa sahihi za humu ukizifaham kwa wingi, unakua mtu mwenye content sana ukikutana na watu average ambao sio wafuatiliaji wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…