Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Bahati mbaya hatuna mahakama tuna matawi ya CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya hatuna mahakama tuna matawi ya CCM
Ndio vipaumbele vyao...😂Chadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Tuna katiba ya hovyo sn, Mganga hafai kabisa kuwa mtumishi wa umma ni mtu hatari snMwendelezo wa zarau kwa Watanzania, huwezi kumpa heshima kubwa mtu ambae anatuhuma nyingi za haki za binadamu, mkuu wa nchi amekiri tatizo lipo na dhaluma Basi Tena. Nadhani huenda mfumo uteuzi Jopo la Majaji ipo shida $$$.Sidhani Mama anaweza kutoa maelekezo haramu Kama ya Mwendazake kumteua yeyote kwa matakwa binafsi.
let's say I was part of a certain ring (that is how I know)!Mlikuwa mnafanya naye huo ujambazi..? How do you know..?
Au ndiye nyie ambao mkibananishwa kuthibitisha mnaishia kujitetea kuwa "nimesikia tu watu wanasema sema sokoni...!!??"
So pathetic..
Jamaa alikuwa na dharau Sana kutoa maelezo Kama kada wa ccm Polex2 kwa hoja nzito Haki za watu,kwa nafasi yake alipaswa kuwa nuatral na hekima.Bahati mbaya hatuna mahakama tuna matawi ya CCM
Na tahadhari kwa rais kwamba sisi raia wa Jamhuri ya Muungano ndiyo waajiri na kwamba yeye anatekeleza tu kwa niaba yetu so anaajiri awe anazingatia maoni, mategemeo na malengo yetu wenye nchi.Kesi nzuri ya kupata tafsiri ya katiba kuhusu uteuzi huu na pia kipimo cha kuona uhuru wa Mahakama kama mhimili katika kutekeleza majukumu yake.
Hafai ni mshenzi snJamaa alikuwa na dharau Sana kutoa maelezo Kama kada wa ccm Polex2 kwa hoja nzito Haki za watu,kwa nafasi yake alipaswa kuwa nuatral na hekima.
Sasa Kama limekufa wewe kinakuwasha Nini?Lema A
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
hakuwa pekee aliyetabiri.kwanza alisema hawezi maliza 2020.Kama alivyotoa unabii kwa kichaa Jiwe aliyefukiwa kule Chato
Dah,we sio mzima nimeaminiChadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
Keshalewa mvinyo uwalevyao watawala wa kiafrica.Mwendelezo wa zarau kwa Watanzania, huwezi kumpa heshima kubwa mtu ambae anatuhuma nyingi za haki za binadamu, mkuu wa nchi amekiri tatizo lipo na dhuluma Basi Tena. Nadhani huenda mfumo uteuzi Jopo la Majaji ipo shida $$$.Sidhani Mama anaweza kutoa maelekezo haramu Kama ya Mwendazake kumteua yeyote kwa matakwa binafsi.
Wewe ndiyo mlevi... Tena wa chimpumuKhaaa... huyu Lema ni mlevi?
Povu LA nini bidada??Lema A
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
Naona msumari wa moto umezama kunako... Team jiwe unarukaruka tu, kuuchomoa... Nakushauri,tulia...Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu Lema jizi la magari jambazi sugu limekimbia madeni
Upo sawa kabisa mkuu.Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu