Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Chadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Ndio vipaumbele vyao...😂
 
Mwendelezo wa zarau kwa Watanzania, huwezi kumpa heshima kubwa mtu ambae anatuhuma nyingi za haki za binadamu, mkuu wa nchi amekiri tatizo lipo na dhaluma Basi Tena. Nadhani huenda mfumo uteuzi Jopo la Majaji ipo shida $$$.Sidhani Mama anaweza kutoa maelekezo haramu Kama ya Mwendazake kumteua yeyote kwa matakwa binafsi.
Tuna katiba ya hovyo sn, Mganga hafai kabisa kuwa mtumishi wa umma ni mtu hatari sn
 
Mr Mganga is among the senior members of the previous despotic regime! Consequences ahead ! Mimi nasema we shall revisit
 
Mlikuwa mnafanya naye huo ujambazi..? How do you know..?

Au ndiye nyie ambao mkibananishwa kuthibitisha mnaishia kujitetea kuwa "nimesikia tu watu wanasema sema sokoni...!!??"

So pathetic..
let's say I was part of a certain ring (that is how I know)!

"Democracy is a pathetic belief in the collective wisdom of individual ignorance"
 
Mama anajiharibia cv yake anatuudhi sasa tutamuaadhibu 2025.
Mwendazake toxin zote angepiga chini angejijengea cv matata.
Tunaanza muona ni wale wale
 
Kesi nzuri ya kupata tafsiri ya katiba kuhusu uteuzi huu na pia kipimo cha kuona uhuru wa Mahakama kama mhimili katika kutekeleza majukumu yake.
Na tahadhari kwa rais kwamba sisi raia wa Jamhuri ya Muungano ndiyo waajiri na kwamba yeye anatekeleza tu kwa niaba yetu so anaajiri awe anazingatia maoni, mategemeo na malengo yetu wenye nchi.

Pia hili Ni moja ya jambo linalohararisha umuhimu wa katiba mpya kwamba teuzi za rais zithibitishwe na mamlaka kadhaa ikiwemo Bunge kwa niaba ya wananchi.
Biswalo kuwa jaji ni dhihaka kwa watanzania. Jaji kwa kibliblia anatakiwa awe na sifa za kiaskofu.
 
Usiposikiliza watu ni lzm utaanguka.Kioo cha mtu ni watu.Uwapo uwanjani huwezi yaona makosa yako kuliko watazamaji
 
Lema A

Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
Sasa Kama limekufa wewe kinakuwasha Nini?
 
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
Dah,we sio mzima nimeamini
 
Mwendelezo wa zarau kwa Watanzania, huwezi kumpa heshima kubwa mtu ambae anatuhuma nyingi za haki za binadamu, mkuu wa nchi amekiri tatizo lipo na dhuluma Basi Tena. Nadhani huenda mfumo uteuzi Jopo la Majaji ipo shida $$$.Sidhani Mama anaweza kutoa maelekezo haramu Kama ya Mwendazake kumteua yeyote kwa matakwa binafsi.
Keshalewa mvinyo uwalevyao watawala wa kiafrica.
 
I wish hilo lingefanyika bila kujali pingamizi litapita au hapana, the problem I doubt kama kweli litafanyika kwa sababu, CHADEMA au wana-CHADEMA nwalikuwa na fursa ya kufanya mambo kama hili huko nyuma tena yenye uhusiano wa moja kwa moja na siasa za nchi hii ambazo, zisipokuwa sawa, hakuna lingine lolote linaloweza kuwa sawa!

Namuona SSH anafuata mfumo ule ule wa aliyemtangulia! DPP wa JK baada ya yeye nae kutokuwa na sifa za kuwa DPP, alichofanya JPM ni kumtoa kwenye u-DPP na kumfanya kuwa jaji!

Samia nae kafuata mkumbo ule ule...
 
Lema A

Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
Povu LA nini bidada??
 
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu Lema jizi la magari jambazi sugu limekimbia madeni
Naona msumari wa moto umezama kunako... Team jiwe unarukaruka tu, kuuchomoa... Nakushauri,tulia...
 
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
Upo sawa kabisa mkuu.
Mbowe kasoma wapi bwana? Aaa mtu mwenyewe nasikia 'Thesisis' yake haionekana kama ya yule bwana makorosho yulee aliehojiwa na 'Sir8' ikapelekea kugharimu uhai wake.
Mnyika nae nasikia kasomea Lamli pale UD hana lolote.
Lema mmmh, hana tofauti na yule bwana wa Konde gang ambae anapendekeza Majani kuhalalishwa.
 
Back
Top Bottom