beny jr
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 849
- 1,168
Mama anaupiga mwingi mpaka anakera sana hongera mama unaonekana dhahiri hukukubaliana na maamuzi ya bosi wako#nimeamini mchawi ni mtu uliyekaribu nae sana kwenye maisha acha tufe sisi tulioamini na kusimamia falsafa na misimamo ya mwenda zake Tunakushukuru shujaa wa africa kwa zawadi ya utumishi wako uliotukuka kuna masomo mengine tunajifunza hata baada ya kuondoka.