Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

Mliaminishwa..

Neno sahihi kabisa. Haikuwa hivyo ila zilikuwa ni chuki kali zilizojaa husda majungu na visasi.

Tulieni hivyohivyo Mama aiponye nchi.

Mama songa mbele. Tuko nyuma yako.
2025, atawashawishi vipi watwnzania?
 
Wa kukaa wangetoka wapi na wakati Jiwe aliharibu uchumi? Real estate ilikufa awamu yote ya Jiwe.

Wakati wa JK si zilikuwa booked zote? Ndio maana sasa uchumi umeanza angalau kupumua,baada ya 2025 kutakuwa na boom nzuri tuu.

Ilifika mahala mabenki yanakataa collateral za ardhi/ nyumba au wanakupa pesa kidogo Sana kwa sababu uki default hata wakiuza hawapati pesa yao.
Kwahiyo ilikuwa sawa wewe wa kundi fulani uneemeke kwa kodi za raia huku maelfu wakishindwa hata kununua panadol? Vipi kuhusu public service, vipi kuhusu elimu ya msingi na enrolment?

Kweli wewe ni mtanzania!
 
Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika...
Watanzania amken amken cake ya taifa imeshakuwa ya kundi la watu wachache na hapa nawambia kama huna utafiki au undugu na kundi lile sahamu kupata teuzi yoyote.

Na karata za ufundi wa kundi lile ni 2025 kutoa baadhi ya majimbo kwa vyama pinzani ili wasiwe na miruzi mingi baada ya hapo watakao baki watateuliwa kuwa ma DC na wakurugenzi! Kundi hilo hilo ndilo litaendelea kuongoza nchi kwa kuwazubaisha wapiga kelele!

Tuweni serious mimi sina wivu na wateule je ni kweli hakuna watu wakuteua hadi walewale tulioaminishwa na serikali kuwa ni wachafu na wamerudishwa hii ina maana gani? Je watanzia wengine hawawezi kufanya hizo kazi!

Nani mshauri wa raisi anayemwambia hao ndoo watu mhimu kuwarudisha? Ipo siku inakuja na itashangaza wengi maana tunaamini ccm waliowengi siyo wasafi .
 
Na nyie mataga zidisheni kupaza sauti za Katiba mpya
Mkuu they know katiba mpya itakuwa mwiba that's why hawataki kuruhusu hiyo kitu iandikwe.

As they ssaying "katiba mpya siyo ajend ma yangu au isubiri mwanza"
 
Ninavyojua hawa wapigaji walikuwa na network, sasa ni kama Magufuli alikuja kukata ile network ila amekuja huyu naona anaunganisha tena network.

Niandike tu kwa kifupi; Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio suluhisho la kudumu.
Tatizo Magu nae, badala ya "kuhangaika" na hawa...akawa anahangaika na kina Lissu, Ben Sanane n.k
 
Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika...
Mchechu alifanya kazi nzuri sana NHC alilifanyia mabadiliko makubwa shirika hili alianzisha miradi mingi tu
 
Ninavyojua hawa wapigaji walikuwa na network, sasa ni kama Magufuli alikuja kukata ile network ila amekuja huyu naona anaunganisha tena network.

Niandike tu kwa kifupi; Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio suluhisho la kudumu.
Too little too late; ishi na hilo tumaini utapunguza stress!
 
1CB8D4BB-39EB-47F8-A94C-F32AB8C39386.jpeg
Hongera kwa kurudishwa nafasi yako , lakini nakushauri sasa nenda katumie nafasi vizuri kampuni zako tunajua ndio zilizokua zinapeewa tender zote hapo NHC jitahidi hiyo keki ule na watanzania wenzako.

Sio lazima watu tuseme kila kitu lakini Mwenda zake aliona kitu akakutoa hapo rekebisha hicho kitu na unakijua vizuri, shirika likatoe huduma kwa haki na usawa kwa kulingana maisha halisi ya mtanzania
 
Kwahiyo ilikuwa sawa wewe wa kundi fulani uneemeke kwa kodi za raia huku maelfu wakishindwa hata kununua panadol? Vipi kuhusu public service, vipi kuhusu elimu ya msingi na enrolment?

Kweli wewe ni mtanzania!
Hivyo ulivyovitaja vimefanya nini? Au kuna nini cha pekee kimefangika?

Uliwahi kuona wapi makundi yote kunufaika? Wajamaa mna akili ndogo Sana .
 
Mama asili yake ni mvivu na Hana muda wa kujiridhisha, lolote lijalo kwake ni hewala, anateua hata watu waliokataliwa ambao wamekaa miaka na miaka serikali with zero results but ufisadi, ni sawa na kutukana vijana wenye elimu lakini hazitumiki, teuzi ni wale wale utafikiri nchi ni Kwa ajiri ya watu wachache.
 
Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika...
Alipoondoka ulifanya sherehe, jipange, maji utaita mma
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hivyo ulivyovitaja vimefanya nini? Au kuna nini cha pekee kimefangika?

Uliwahi kuona wapi makundi yote kunufaika? Wajamaa mna akili ndogo Sana .
Huoni vibaya kunywa damu za watu wasio na hatia? Ogopa laana ndiyo sababu hufanikiwi na kizazi chako, badili tabia usione haya!
 
Umemsifia vizuri nikasema kumbe... baadae unaandika; "Afrika na hasa Tanzania hakuna ambaye sio mwizi"

Hii statement ni ya mtu aliyekata tamaa asielitakia mema hili taifa.

Tuachane na hizi network za ajabu tutafute watu safi wenye weledi wa kuongoza hizi taasisi, haya mazoea yatazidi kutuharibia.
Kasumba za kishenzi sana. Eti hakuna ambaye sio mwizi!
Mimi, kwa mfano, sio mwizi.
 
Kwa hiyo serikali sasa itaenda kuweka garantii ili NHC wakope mabilioni ya pesa kwenye mabenki wajenge apartments ambazo watamuuzia mtanzania myonge kwa milioni 200, na kwa kuwa mnyonge hajawahi hata kuota kumiliki hiyo pesa basi hizo apartments zinabaki kuwa makazi ya popo na kupigwa vumbi daily......huyo ndo mama anaupiga mwingi bhana.
Reincarnation of the 4th Regime 😅
 
Back
Top Bottom