Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

Mama anaupiga mwingi mpaka anakera sana hongera mama unaonekana dhahiri hukukubaliana na maamuzi ya bosi wako#nimeamini mchawi ni mtu uliyekaribu nae sana kwenye maisha acha tufe sisi tulioamini na kusimamia falsafa na misimamo ya mwenda zake Tunakushukuru shujaa wa africa kwa zawadi ya utumishi wako uliotukuka kuna masomo mengine tunajifunza hata baada ya kuondoka.
 
Rais akupe maelezo wewe kama nani?
 

Kitakachotuokoa watanzania ni box la kura 2025, tusali na kuomba mola amtafute mshauri mkuu wa hii mipango afanye yake.​

 
Acha ujinga mkuu
 
Tatizo mnatuona hatuna kumbukumbu.

Bosi wa TPDC alitumbuliwa na Magufuli na baadae mpaka akafunguliwa kesi, mwisho wa siku alifutiwa kesi na Magufuli akamrudisha kwenye ukurugenzi.
 
Ninavyojua hawa wapigaji walikuwa na network, sasa ni kama Magufuli alikuja kukata ile network ila amekuja huyu naona anaunganisha tena network.

Niandike tu kwa kifupi; Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio suluhisho la kudumu.
Ndio maana wanaipinga katiba mpya kwani hiyo ndio dawa ya ufisadi wao! Kumbukeni kuwa ni Kikwete huyo huyo ndio aloyesababisha katiba mpya kutopatikana na sasa anamtumia Huyu mama na udhaifu wake kuhakikisha kuwa ile rasimu ya Warioba haihitimishwi!!
Kikwete ndio adui na mbali ONE wa nchi hii kwani Samia hajui kinachoendelea!
 
Kijana tulia. Hili ni Taifa. Inatwa Jamuhuri. Kama umewahi muona Jamuhuri basi sawa ila na taka kuamini Tz sio mali ya mutu ni mali ya Jamuhuri
 
Kuna ujinga gani hapo sasa, kaangalie apartment za kule morocco kama kuna watu wanakaa na wakutajie bei yake....
Wa kukaa wangetoka wapi na wakati Jiwe aliharibu uchumi? Real estate ilikufa awamu yote ya Jiwe.

Wakati wa JK si zilikuwa booked zote? Ndio maana sasa uchumi umeanza angalau kupumua,baada ya 2025 kutakuwa na boom nzuri tuu.

Ilifika mahala mabenki yanakataa collateral za ardhi/ nyumba au wanakupa pesa kidogo Sana kwa sababu uki default hata wakiuza hawapati pesa yao.
 
Kijana tulia. Hili ni Taifa. Inatwa Jamuhuri. Kama umewahi muona Jamuhuri basi sawa ila na taka kuamini Tz sio mali ya mutu ni mali ya Jamuhuri
Ngumu kumesa...Wengine tulishaelewa kitambo what it means
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…