Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

Ninavyojua hawa wapigaji walikuwa na network, sasa ni kama Magufuli alikuja kukata ile network ila amekuja huyu naona anaunganisha tena network.

Niandike tu kwa kifupi; Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio suluhisho la kudumu.
Wote wanakuja na watu wao na JPM alituletea wahuni kama Bashite na Sabaya, dawa ni katiba mpya na teuzi zote muhimu za raisi zipitie bunge au chombo cha umma kuhojiwa ili kupitishwa au kupigwa chini
 
Sifa kuu za msechu ni
1, uthubutu
2, ubunifu
 
Tukidai katiba mpya mnatuita magaidi.
mapimbi nyie
 
Waliotumbuliwa kulikuwa hakuna sababu ya kuwarudisha. Hasa kama wizi ubadhirifu kutokuwajibika ufisadi.
Yetu macho. Mama anashauriwa hovyo hovyo. Kama bendera fuata upepo. Kweli viatu vinapwaya!
 
Can you put those ubadhirifu evidence here? Hyo aliyemtengua wakat huo aliwah weka evidence za ubadhirifu wa Mchechu au hearsay Tu? Majungu majungu majungu tu
 
Ninavyojua hawa wapigaji walikuwa na network, sasa ni kama Magufuli alikuja kukata ile network ila amekuja huyu naona anaunganisha tena network.

Niandike tu kwa kifupi; Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio suluhisho la kudumu.
wakulaumiwa ni Yule aliyejiita mzalendo huku akiendelea kukumbatia katiba mbovu
 
Masalia ya jiwe,ni watu wasiamini kama katangulia mbele ya haki.jiwe sio malaika!
 
Utawala wa Kikwete ni wa hovyo sana. Sijawahi mkubali JK hata siku moja, he's very useless. Najiuliza, hivi Samia lini atachukua nchi hii, au anapenda kukaimu tu? Mwaka wa 6 sasa bado anakaimu kiti tu😡
 
Magomeni wamejenga National Housing au TBA?
 
Magufuli alikuwa kiboko ya wezi na mafisadi. Leo hii nchi inachezewa sababu bibi anaongozwa na wahuni.
Tangu lini mwizi akawa kiboko cha wezi? Alipeleka wapi Trilion 1.5? Alikuwa wapi wakati mtoto wake anapora mali za GSM?

Huyo mwendazake wenu alikuwa shetani
 
Kurudishwa Msechu NHC ni mkakati wa Kikwete kutaka kukomba hayo mabillioni yaliyopelekwa huko!! Anaandaa mtandao wa Uchaguzi wa 2024 hivyo sehemu zote zenye fedha atateuliwa mtu atakaye wezesha upatikanaji wa fedha za Uchaguzi!!
Endelea kuishi kwa nadharia na mambo ya kusadikika
 
Kama mpuuzi wenu alimuondoa mchechu hata kabla miradi haijakamilika kwa nini mradi urudishe pesa!

Jiandaeni kumuombea yule mfu wenu iyo tarehe 17 maana maisha yake yalijawa sana na chuki na roho mbaya
 
Kwa teuzi anazofanya huyu mama kwa kweli simuelewi kabisa naungana na wewe watanzania tunamchekea sana amevimba kichwa anafanya anavyotaka.
 
Waliotumbuliwa kulikuwa hakuna sababu ya kuwarudisha. Hasa kama wizi ubadhirifu kutokuwajibika ufisadi.
Yetu macho. Mama anashauriwa hovyo hovyo. Kama bendera fuata upepo. Kweli viatu vinapwaya!
Uliwapeleka Mahakamani kwa huo wizi wao?

Magufuli alimtumbua Dk Mataragio TPDC kwa mbwembwe kibao na kesi ikafunguliwa baadae kesi ikafutwa akamteua tena huyo huyo Dk Mataragio kuwa DG TPDC ! Uliwai lakamika popote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…