Mwanaccm mwenzako acha wivuMzee wa miradi hewa ya kifisadi karejea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaccm mwenzako acha wivuMzee wa miradi hewa ya kifisadi karejea.
Wote wanakuja na watu wao na JPM alituletea wahuni kama Bashite na Sabaya, dawa ni katiba mpya na teuzi zote muhimu za raisi zipitie bunge au chombo cha umma kuhojiwa ili kupitishwa au kupigwa chiniNinavyojua hawa wapigaji walikuwa na network, sasa ni kama Magufuli alikuja kukata ile network ila amekuja huyu naona anaunganisha tena network.
Niandike tu kwa kifupi; Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio suluhisho la kudumu.
Sifa kuu za msechu niNi aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana.
Mchechu alisifika sana kwa ubadhirifu, sasa anarudi NHC kwa nafasi ile ile. Huu ni uongozi au uhuni uliokithiri? Je, haya ndo matokeo ya urafiki na Kikwete au ni sababu gani ya ziada?
Rais Samia na Mzee Kikwete au watu wa Kikwete wana urafiki gani wa ziada? Hawa watu wana sifa zipi ambazo Watanzania wengine hawana? Yaani wananchi hatuna thamani kiasi hiki kwa viongozi wetu!
Tukidai katiba mpya mnatuita magaidi.Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana.
Mchechu alisifika sana kwa ubadhirifu, sasa anarudi NHC kwa nafasi ile ile. Huu ni uongozi au uhuni uliokithiri? Je, haya ndo matokeo ya urafiki na Kikwete au ni sababu gani ya ziada?
Rais Samia na Mzee Kikwete au watu wa Kikwete wana urafiki gani wa ziada? Hawa watu wana sifa zipi ambazo Watanzania wengine hawana? Yaani wananchi hatuna thamani kiasi hiki kwa viongozi wetu!
Waliotumbuliwa kulikuwa hakuna sababu ya kuwarudisha. Hasa kama wizi ubadhirifu kutokuwajibika ufisadi.Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana.
Mchechu alisifika sana kwa ubadhirifu, sasa anarudi NHC kwa nafasi ile ile. Huu ni uongozi au uhuni uliokithiri? Je, haya ndo matokeo ya urafiki na Kikwete au ni sababu gani ya ziada?
Rais Samia na Mzee Kikwete au watu wa Kikwete wana urafiki gani wa ziada? Hawa watu wana sifa zipi ambazo Watanzania wengine hawana? Yaani wananchi hatuna thamani kiasi hiki kwa viongozi wetu!
Can you put those ubadhirifu evidence here? Hyo aliyemtengua wakat huo aliwah weka evidence za ubadhirifu wa Mchechu au hearsay Tu? Majungu majungu majungu tuNi aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana.
Mchechu alisifika sana kwa ubadhirifu, sasa anarudi NHC kwa nafasi ile ile. Huu ni uongozi au uhuni uliokithiri? Je, haya ndo matokeo ya urafiki na Kikwete au ni sababu gani ya ziada?
Rais Samia na Mzee Kikwete au watu wa Kikwete wana urafiki gani wa ziada? Hawa watu wana sifa zipi ambazo Watanzania wengine hawana? Yaani wananchi hatuna thamani kiasi hiki kwa viongozi wetu!
wakulaumiwa ni Yule aliyejiita mzalendo huku akiendelea kukumbatia katiba mbovuNinavyojua hawa wapigaji walikuwa na network, sasa ni kama Magufuli alikuja kukata ile network ila amekuja huyu naona anaunganisha tena network.
Niandike tu kwa kifupi; Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio suluhisho la kudumu.
Utawala wa Kikwete ni wa hovyo sana. Sijawahi mkubali JK hata siku moja, he's very useless. Najiuliza, hivi Samia lini atachukua nchi hii, au anapenda kukaimu tu? Mwaka wa 6 sasa bado anakaimu kiti tu😡Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana.
Mchechu alisifika sana kwa ubadhirifu, sasa anarudi NHC kwa nafasi ile ile. Huu ni uongozi au uhuni uliokithiri? Je, haya ndo matokeo ya urafiki na Kikwete au ni sababu gani ya ziada?
Rais Samia na Mzee Kikwete au watu wa Kikwete wana urafiki gani wa ziada? Hawa watu wana sifa zipi ambazo Watanzania wengine hawana? Yaani wananchi hatuna thamani kiasi hiki kwa viongozi wetu!
Magomeni wamejenga National Housing au TBA?Nipe idadi ya nyumba alojenga. Ha ha ha, kaangalie huko Singida na Katavi unakosema. Angalia Arusha. Kujenga hivyo vijumba ndo unamsifia.
Ok, unasema waliobaki wakifanya nini, tazama maghorofa ya Magomeni. Yamejengwa Msechu hayupo. Hayo yanatakiwa yamwagike nchi nzima. Au hata hiyo Dar yote. Si kujenga vighorofa yvya kuhesabu na vijumba vya mapara manne. Kisha unamsifia. Pole sana.
Habari za Chato?Utawala wa Kikwete ni wa hovyo sana. Sijawahi mkubali JK hata siku moja, he's very useless. Najiuliza, hivi Samia lini atachukua nchi hii, au anapenda kukaimu tu? Mwaka wa 6 sasa bado anakaimu kiti tu😡
Tangu lini mwizi akawa kiboko cha wezi? Alipeleka wapi Trilion 1.5? Alikuwa wapi wakati mtoto wake anapora mali za GSM?Magufuli alikuwa kiboko ya wezi na mafisadi. Leo hii nchi inachezewa sababu bibi anaongozwa na wahuni.
Endelea kuishi kwa nadharia na mambo ya kusadikikaKurudishwa Msechu NHC ni mkakati wa Kikwete kutaka kukomba hayo mabillioni yaliyopelekwa huko!! Anaandaa mtandao wa Uchaguzi wa 2024 hivyo sehemu zote zenye fedha atateuliwa mtu atakaye wezesha upatikanaji wa fedha za Uchaguzi!!
Dah. Wee jamaaaMawazo ya kiduwanzi mno haya.
Kama mpuuzi wenu alimuondoa mchechu hata kabla miradi haijakamilika kwa nini mradi urudishe pesa!Huu ni uongo, NHC ilikopa pesa nyingi kufanya miradi lakini hiyo miradi haikuwahi kurudisha pesa iliyokopwa. Shirika likabaki na madeni makubwa
Ni sawa na ilivyo ATCL, mnakwenda kununua ndege kwa mabilioni alafu kila siku shirika linapata hasara kisa tu kulifufua shirika.
Ni ujinga tu
Kwa teuzi anazofanya huyu mama kwa kweli simuelewi kabisa naungana na wewe watanzania tunamchekea sana amevimba kichwa anafanya anavyotaka.Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana.
Mchechu alisifika sana kwa ubadhirifu, sasa anarudi NHC kwa nafasi ile ile. Huu ni uongozi au uhuni uliokithiri? Je, haya ndo matokeo ya urafiki na Kikwete au ni sababu gani ya ziada?
Rais Samia na Mzee Kikwete au watu wa Kikwete wana urafiki gani wa ziada? Hawa watu wana sifa zipi ambazo Watanzania wengine hawana? Yaani wananchi hatuna thamani kiasi hiki kwa viongozi wetu!
Ukweli ndio huo wewe gen..se; msifikiri mtarudia yale mambo yenu ya mtandao halafu mkadhani mtakuwa salama!Endelea kuishi kwa nadharia na mambo ya kusadikika
Tupe ushahidi wa izo tungo zako mpuuzi weweUkweli ndio huo wewe gen..se; msifikiri mtarudia yale mambo yenu ya mtandao halafu mkadhani mtakuwa salama!
Uliwapeleka Mahakamani kwa huo wizi wao?Waliotumbuliwa kulikuwa hakuna sababu ya kuwarudisha. Hasa kama wizi ubadhirifu kutokuwajibika ufisadi.
Yetu macho. Mama anashauriwa hovyo hovyo. Kama bendera fuata upepo. Kweli viatu vinapwaya!