Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Then the designing of God must be very sophisticated!
So who is the designer of God?
 
Kwanza hakuna kuumbwa kwa kutamkwa ndio maana humans wanasema binadamu aliumbwa pekee hivyo viumbe havikuumbwa mkuu.

akili haipo limited kwwa human pekee tambua ilo.
 
Originator hayupo limited na time, space and matter..

Yeye ni Omnipresent (being present in all places at all times),.... Hivyo basi alikuepo na yupo kila mahala!


Hivyo maswali yako yamejifia.
Unaweza kuthibitisha kwamba alikuwepo, Na yupo kila mahali?

Una Evidences,proofs zozote kuthibitisha originator yupo kila mahali.

Au ni dhana na mawazo yako ya kufikirika imagination just an illusions??

Kwanza aliye sema huyo "Unknown Originator" au "Unknown designer" ni omnipresent ni nani?

Yani kwanza huyo Originator ni dhana ya kufikirika(Unknown) Hamumjui halafu sifa zake mnazifahamu kama vile mlishawahi kumuona....

Mnalazimisha sifa kwa Unknown creature?

Yani kitu Hukijui halafu sifa zake una zijua?

How is it possible?
 

"...which was incredibly small, hot, and dense."

WHO SAW AND WITNESSED IT? NO ONE, NO ANYONE AMONGST HUMANITY!
 
When we discuss about God concept at this era tunatakiwa kujadili kwa mtazamo mwingine.

Hatuwezi kuendelea kujadili concept of God kama walivyokuwa wakijdadili karne za zamani sana.

Concept of God we have to discuss it kwa mtazamo wa kisayansi pia. Kwamba omnipresent of God idea is the Idea of the presence of Energy. Energy is everywhere in the Universe.

According to many theories energy was there before the Big bang.
Energy was concentrated to the point which known as singularity.

So tunaendelea kufanya utafiti how energy became to exist. Hiyo ipo beyond of our understanding until this moment.

Ngoja niishie hapa. Kisha nitaelezea how energy works in our body. From heat energy, electric energy etc.
 
If Energy cannot be created or destroyed.

How Nothing from no where, Can be the cause of itself and its own existence to Somewhere???
 
If Energy cannot be created or destroyed.

How Nothing from no where, Can be the cause of itself and its own existence to Somewhere???
Such first law of thermodynamic ili anzishwa miaka ya zamani sana. Lakini mpaka leo hii imesaidia kujua vitu vingi sana. Mpaka sasa hivi imekuwa ndiyo nguzo ya science.

Sasa tukija kujadili energy, zaidi sana tunaelewa namna tofauti tofauti ya kutumia hiyo energy. But how energy became to exist hili linabaki fumbo lisilo na mfumbuzi wake.
 
Hapa umenena mkuu.[emoji119]
 
Hapo ndipo unapopata nafsi na roho. Mtu ana sehemu tatu: mwili (nyama, damu na mifupa), nafsi (akili, utashi na hisia), na roho (uwepo usioonekana kwa macho).
 
Humans made and make machines. The crucial question is: who made humans?! They were not made, but created into being!
 
Kwanza hakuna kuumbwa kwa kutamkwa ndio maana humans wanasema binadamu aliumbwa pekee hivyo viumbe havikuumbwa mkuu.

akili haipo limited kwwa human pekee tambua ilo.
Hiyo kusema hakuna kuumbwa kwa kutamkwa ni Imani yako tu.., maana ukiambiwa uthibitishe kwamba haiwezekani kuumbwa kwa kutamkwa hautoweza.

Kuhusu akili, yes Viumbe wengine Wana akili lakini human being amewazidi viumbe wengine.... Au hili nalo unabisha?
 
Kwa hivyo mkuu tukubaliane kwamba Hakuna mwenye Uthibitisho wa kwamba tuliumbwa au Hatuku umbwa.

Wote tuna imani tu, Na wewe pia usilazimishe tu kwa maneno kwamba tuliumbwa bila kuwa na uthibitisho.
 
Ipo hivi, haina haja ya kuwa na ubishi usio na mwisho.

Mimi na wewe, tuna Imani zetu mbili.
1. Wewe unaamini Ulimwengu hauna Creator, (Na ukiambiwa ulete uthibitisho kwamba Ulimwengu hauna Creator, hauwezi).

2. Mimi naamini Ulimwengu una Creator, ukiniambia nikuletee huyo Creator umuone, umshike, umnuse, umsikie maskioni mwako Ili nikuthibitishie sitoweza. (But nimesoma Maneno yake nikaona yanaingia akilini nikamuamini)

So, haina haja ya ubishi..... Amini unavyoona ni sawa na Mimi nifanye hivyo hivyo.... Mwisho wa siku itajulikana nani yupo sahihi kwenye Imani yake, 🤝🏼
 
Huwezi kuchunguza nguvu iliyo-above your limit ndiyo maana yeye akaamua kuipatia ukuu wa Mungu....inshort Binaadamu hawezi mchunguza Mungu.

Isaya 55:8-9:
Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. (For my thoughts are not your thoughts, neither are your ways my ways, saith the LORD.)

Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu. (For as the heavens are higher than the earth, so are my ways higher than your ways, and my thoughts than your thoughts.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…