Hakuna mwenye ukwel kwa sababu dini imetoa hadithi zake kwenye misingi ya kuziamini tu , bila kutumia akili wala kuhoji , shida inakuja pale anapotokea mtu anataka kusema ni kweli kabisa lazima atoe uthibitisho.Hapo ni kutojipa jukumu la kujichosha ili uupate ukweli uutakao.Kwa nini kila siku uwe wa kuhitaji wengine tu wakupe majawabu?Na cha kufurahisha,unatoa maswali ya kuongoza unapotaka jibu litokee.Hakuna majibu mepesi kwa maswali yenye mchanganyiko wa mitazamo.
Kila jambo lilitegemea lifanyike au kutokea(na kutofanyika au kutotokea) kwa lengo lipi!Na ndiyo maana,kuna simulizi za baadhi tu ya watu,jamii au nchi fulani kama kuwakilisha na si simulizi ya kila mtu,kila kiumbe,kila jamii au nchi zote.
Unataka kusema huyo Mungu ana mahitaji ya kuabudiwa?😆Mungu Muumbaji hawezi kuwa MUUAJI ila Ipo mîungu yenye Sifa za kibinadamu àmbayo ndiyo hiyo inayotaka kuabudiwa na usipoiabudu inakupa adhabu au inaagiza WAFUASI wake wakupe adhabu.
Na wewe unathibitishaje kwamba yote ni uongo mtupu ili ukubalike?Hakuna mwenye ukwel kwa sababu dini imetoa hadithi zake kwenye misingi ya kuziamini tu , bila kutumia akili wala kuhoji , shida inakuja pale anapotokea mtu anataka kusema ni kweli kabisa lazima atoe uthibitisho.
Unataka kusema huyo Mungu ana mahitaji ya kuabudiwa?😆
Kuitwa Mungu maana yake hazuili na time space na Matter.Bado unahubiri tu , kwa nini ninapaswa kujiuliza nani kaniumba ila sipaswi kuuliza nani kamuumba huyo Mungu?
Ndiyo.Anataka kwanza umjue na kisha umtumikie/umuabudu/umuombe/umtumikie.Unataka kusema huyo Mungu ana mahitaji ya kuabudiwa?😆
Bado unahubiri tu , kwa nini ninapaswa kujiuliza nani kaniumba ila sipaswi kuuliza nani kamuumba huyo Mungu?
Daudi mwenyewe alikua chini ya sheria ya Mungu, unasahu alitaka kumuua nabali akagairi Kwa sababu angehukumiwa kifo, unasahu Mfalme Saul wa Israel aliuliwa Kwa Upanga kama alivyowaua wengine. Hukumu zote zilifanyika hapa hapa Duniani. Soma Biblia kakaHoja ya min -me ni double standards zilizopo kwèñye hicho KITABU cha Biblia.
Niliwahi andika àndiko Hapa kuhusu uandishi wa Biblia na waandishi wake walivyowamba Ngoma kuvutia Kwao, kuanzia Musa.
Akiua Suleiman siô dhambi, Akiua Daudi siô dhambi, Akiua Musa siô dhambi, Kwa sababu wôte hao ndîo waandishi wamejipa uhalali na Haki ya kuua
Sijawahi kusema yupo hata siku moja wala kufungua uzi wa namna hiyo .Na wewe unathibitishaje kwamba yote ni uongo mtupu ili ukubalike?
Unasahau Daudi alizini na mke wa Uria na Mungu alimuhukumu, baadae alimsamehe lakini mtoto wake Mungu alimchukua.Hoja ya min -me ni double standards zilizopo kwèñye hicho KITABU cha Biblia.
Niliwahi andika àndiko Hapa kuhusu uandishi wa Biblia na waandishi wake walivyowamba Ngoma kuvutia Kwao, kuanzia Musa.
Akiua Suleiman siô dhambi, Akiua Daudi siô dhambi, Akiua Musa siô dhambi, Kwa sababu wôte hao ndîo waandishi wamejipa uhalali na Haki ya kuua
Asante kwa mahubiriMungu huzungumza na watu, na huzungumza nasi kupitia ndoto, neno lake (Biblia), kupitia watu na kupitia malaika au hata sauti yake. Hivyo vyote Duniani kote Kila mmoja huota, hupata ujumbe wa maonyo na mafundisho, watu Kwa watu huzungumza, Biblia IPO kutuambia kuhusu ahadi za Mungu maishani mwetu na namna ya Kujenga nae uhusiano na kadhalika. Mungu wetu ni Mungu anaeishi. Anazungumza nasi
Wewe ni mtoto mdogo sana, Biblia imeandikwa miaka maelfu, usimkufuru Mungu mapema hivi wakati Bado kijana. Heri ukae kimya, Mungu hadhihakiwiHao wote ni wauaji tu pamoja na Mungu anaejinadi ni waupendo , kuua ni kuua tu , bado naona sipaswi kujifunza kutoka kwao ,utashi wangu unatosha bila wao.
Daudi mwenyewe alikua chini ya sheria ya Mungu, unasahu alitaka kumuua nabali akagairi Kwa sababu angehukumiwa kifo, unasahu Mfalme Saul wa Israel aliuliwa Kwa Upanga kama alivyowaua wengine. Hukumu zote zilifanyika hapa hapa Duniani. Soma Biblia kaka
Swali ni:Aliua kwa dhumuni/sababu/nia ipi hasa?Daudi kauua wengi Sana lakini yeye hakuuawa.
Hata sababu ya kutojenga Hekalu ni Kwa sababu ya Kuua Watu lakini yeye hakuuawa na Sheria za Mungu zinasema auaye Kwa Upanga atakufa Kwa Upanga. Sasa swali kwako Daudi aliuawa Kwa Upanga?
Miungu ni mingi, lakini Mungu mkuu ni mmoja nae ni Mungu anaeishi. YHWH.Kwamba tutafute majibu? Min me katafuta majibu kapata conclusion Mungu hayupo
Mimi huwa sijichoshi kufikiria hayo naamini Mungu yupo kwa sababu kuu 2
1. Kama kuna ulimwengu wa giza basi Ulimwengu wa mwanga nao upo
2. Huwa naomba kwa jina la Mungu na ninapata majibu.
Alikua akiwa kama askari, there is sheria ya vita lakini kuua damu isio na hatia ni Dhambi. Daudi alikua askari hodari na shupavu na Mungu alimshidia vita vyote. Askari kazi yake ni kulinda na kupigana vita.Daudi kauua wengi Sana lakini yeye hakuuawa.
Hata sababu ya kutojenga Hekalu ni Kwa sababu ya Kuua Watu lakini yeye hakuuawa na Sheria za Mungu zinasema auaye Kwa Upanga atakufa Kwa Upanga. Sasa swali kwako Daudi aliuawa Kwa Upanga?
Unasahau Daudi alizini na mke wa Uria na Mungu alimuhukumu, baadae alimsamehe lakini mtoto wake Mungu alimchukua.
Matokeo ya zinaa yake tunaona Kwa watoto wa Daudi huko mbeleni kuanzia Solomon