Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Hacha zako kuna wasanii kibao wakizungu malimbukeni unamjua tekash wew

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kama tuna behave kama sokwe utasemaje! Tunapewa msaada wa vyandalua na kuchimbiwa vyoo! Inafikirisha sana.
Katika karne hii ya 21 ambapo watu wanafikiria kuenda kuweka makazi sayari nyingine ila bado jamii ya mtu mweusi wanategemea mzungu atoke ulaya kuja kuwajengea choo. Amazing stupidity

Kuna vyuo vya afya vyenye miongo kadhaa kwenye hili bara vinavyotoa wahitimu kila mwaka lkn malaria tu inatusumbua mpk tusubirie msaada wa Bush.

 
Tufanyeje sasa kujikomboa??
Tutoke kwenye jadi, Twende kwenye ubinadsmu,wao wazungu hawaja wekeana mipaka mifumo ya kuishi mfano kwenye kuvaa, kwenye urafiki, wao kufanya mambo hakuna umri mfano hakuna nguo za vijana wala watu wazima utakuta mwanamke mwenye miaka 60 ana vaa sawa na msichana wa miaka 19, na kwenye maongezi vile vile hakuna maongezi ya vijana na watu wazima, Yani unaweza kuonana mzungu ana miaka 70 na ukawa huru kwenye kupiga stori za vijiweni na hasi kushangae.
 
"Cha kushangaza ni kwamba Babu aliweza kutengneza Mapiramidi Misri ambayo mpaka Sasa imekuwa shida kujua hesabu zake lakini mjuu hata kutengeneza soksi,kijiko, hawezi si mambo ya ajabu aya"

Wahandisi wa Misri walikuwa ngozi nyeusi?

Misri ni nchi ya ulaya iliyopo Afrika.
 
Mkuu japo ni mambo madogo,lakini yasema mengi! Hii culture ya ubosile sijui tumeipata wapi! Niliwahi kumpokea Mwamerika mmoja Airport Dar, alikuja na Private jet, kwa miaka hiyo alikuwa ni Tajiri dunia wa 23!

Alikuwa simple mno! Yeye na mkewe! Sikuona ma gold chains! Yeye alikuwa na sandals na kaptula.

Alisaidia kuingiza mizigo yake ndani ya gari na kuishusha tulipofika hotelier.
Kwa kifupi ndio alikuwa anafadhili NGO niliyokuwa nikifanya kazi, sio Tanzania bali ulimwenguni.

Kwa kifupi ndio aliyekuwa akiniweke mjini!
He was down to earth...nilijifunza kitu kikubwa mno!
 
Hii ilitakiwa iingie kule SoC kabisa, ni kweli weusi tumepunjwa ila watanzania tumedhurumiwa zaidi
 
Habib tuna safari! Ni mzungu kweli wa kulaumiwa kwa hilo?
 
True
 
Akili za waafrika kupata watoto ,mapenzi na uthenge mwingi kujiona mjanja na ushamba kibao ... waafrika tuko limited sana katika kutimiza malengo yetu leo kadada ka watu kametoka Maisha ya umaskini kana kipato kinajengea kwao kwanza ila kuendelea na Maisha yake wanakiforce kiolewe kiwe na mtoto huoni ni majukumu mawili wakati mmoja? Ilihali anaweza kujenga na kuja kuolewa baadae na kupata familia akaanza Maisha yake !

Sisi tuko limited katika kufanya maendeleo yetu wachache wanalitamvua hili na kuwa bussy na malengo yao ndo wanafika mbali ,ni Africa pekee kijana mdogo hana sustainable sources of income ila ana majukumu kibao ya kifamilia mara kidemu chake vitoto vidogo vinaota vipara na kutoka mvi na kufubaa kama wazee
 
Mwenye upungufu wa akili maana yake hajitambui/chizi nafikiri ungefaa kuomba radhi waafrika ukianza kujiomba wewe mwenyewe kwasababu nakuona una akili lakini tofauti ni mtazamo juu ya maisha walimbukeni wapo wa rangi zote na kabila zote kwani hata kitendo tuu cha ubaguzi ni ujinga haswa, ukiona wazungu wachache waliostaarabika basi usifikiri wao ni bora kuliko sisi.

Pia tatizo labda useme wenye busara wengi hawana nguvu ya kuleta nmabadiliko hapa Afrika hapo nitakuelewa
 
Exactly..
Why members hawakutilia mkazo kwa ulichokiandika!!.
 
Definitely.
 
Habib tuna safari! Ni mzungu kweli wa kulaumiwa kwa hilo?
Hakuna mwingine wa kulaumiwa bali ni sisi wenyewe. Ukifikiria sana haya mambo utakufuru kama wewe ni mtu wa dini. Kwa nini afrika iko hivi!?

Story za afrika na waafrika ni phenomenal sana. Tupo kwenye dunia ya peke yetu.

Mfano. Mkoloni anaondoka hapa alitupa kbs head start. Alituachia miundombinu karibu nchi nzima i.e. reli, mashamba makubwa kila kona sio kahawa chai katani pamba etc mashule, miji aliyokuwa kaanza kuipanga vzr japo ilikuwa midogo, maviwanda ya kila aina etc etc. Leo viko wapi!? Tungeanzia palepale alipoachia tukaendeleza vzr leo hii si afrika tungekuwa kama south korea tu!?
 
Not irrelevant but practical...anyway tusubiri kujengewa vyoo na kupokea vyandalua! Maybe that is relevant!
 
Tulikula mpaka mbegu! Na Mzee mstaafu, kila mara alikuwa anasema mkoloni hakuwa mbaya kama tunavyoaminishwa! Sikuwa namwalewa, lakini baadaye nikatambua alikua na point! Kuna mambo baada uhuru tulifanya ujinga mno!
 
Wewe unafikiri ule weusi umekuja kimchezo mchezo .......akili za MTU mweusi Imebaki kwenye rangi yake.....maana wakati tunapakwa rangi tuliambiwa tutulie tusipakwe rangi nyingi .....Sisi SASA tuko busy na kujiangalia kazi kusema yangu haija kolea paka tena .....ona wazungu walipakwa mkono mmoja Tu SASA hivi ni balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…