luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Hacha zako kuna wasanii kibao wakizungu malimbukeni unamjua tekash wewUnakuta Mweusi mwenye pesa magari 60 ya kutembelea, nguo za gharama, nk. Lakini mweupe mfano Mchina yupo simple tu na ni tajiri tena mnalala wote site.
Cheki ushamba wa mayweather, Tyson, rockross na wasanii kibao, nini sasa kuonyesh mapesa Ili iweje sasa. Lakini huwezi kuta mwanamziki mweupe au tajiri Mzungu analimbuka na pesa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app