Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Yani tuna matatizo sana nyeuthiz.

Mfano mdogo tu humu jamvini, mtu akiweka uzi kukandia wizi wa watumishi, anaonekana mnoko, mbaya mwenye wivu, sasa watu wa hivi ndio wamejaa kwenye utumishi na uongozi, kama mtu anatetea uovu na kuona uovu ni jambo safi tutapiga vipi hatua kimaendeleo kwa jamii hii iliyojaa ubinafsi🤔
 
Udongo uliotumika kumuumba binadamu rangi yake ni nyeusi au nyekundu, imekuwaje tupunjwe kiakili? Huenda binadamu halisi ni Mwafrika ila Wazungu walishuka kutoka anga za juu (aliens". Kulingana na maujanja yao wakatudanganya na imani zao nasi tukaitikia "ndio Mzee" bila hata kuhoji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asia pia walitawaliwa na wengine tulikaribiana kiuchumi miaka hiyo iweje sisi hatubadiliki?
 
Asia pia walitawaliwa na wengine tulikaribiana kiuchumi miaka hiyo iweje sisi hatubadiliki?
Ukisoma Asian tigers economies utaelewa kwa nini zilikua kwa kasi Ila kwa huku Africa kikubwa ni uongozi mwingi ulioingia baada ya ukoloni bado ulikuwa unaendeshwa na watu wa nje

Ukiangalia nchi zilizokaa vizuri kama Botswana na libya, utaelewa hii concept nzima
 
hoja nzuri!

ila nadhani sio kuwa tumepunjwa akili. kwa bahati mbaya mifumo yetu ya zama za kale, sio utawala sio uchumi, yote imeuliwa na mkoloni.

cheki hii video, inaweka shida zote tulizonazo kama waafrika sehemu moja! kwa bahati mbaya, hatuna ujanja kukwepa pia, hio ndio shida kubwa!

kiukweli sisi Waafrika tupo vizuri na wabunifu sana sema kwa muda mrefu utawala wa kikoloni umeturudisha nyuma mno! na katika mifumo mipya, baadhi ya waafrika wenzetu wanaendeleza mifumo ya kikoloni na bahati mbaya zaidi, pesa ilipoingizwa kwenye mfumo wa malipo duniani ndio kabisa waafrika wamepotea kwenye chati. ila siri kubwa ya mafanikio ya mwaafrika ni kwenye kilimo. sisi ndio wenye ardhi ambayo tunawezalisha dunia lakini vipingamizi ni vingi hasa lugha na sayansi inayotumika katika uboreshaji ni chenga sana.

kuna mambo mengi Waafrika wamegundua alafu sifa zinaenda kwa mtu mweupe! bahati mbaya kwenye michezo hamna jinsi ya kumpokonya Mwafrika sifa na juhudi zake kwani zinaonekana na ndio maana sehemu kubwa hapo kwenye michezo tuna shine sana!

swala la maendeleo, uongozi yote hayo ni mifumo iliyowekwa na mkoloni. mkoloni akiona kuna mweusi anakipaji kuliko wenzake basi sifa nyingi na kumpelekea dada/kaka yetu kuleta dharau. iwe kwenye elimu ama kipato...

kiufupi, mkoloni ilibidi akae chini afikiria njia nyingine ya kututawala ambapo kaneno "uhuru" katatumika. ni wachache waliogundua na ndio kama tunavyojua, hao hua hatukai nao muda mrefu (naongelea janga linalokumba bara la Afrika hapa)!

tumepotea SANA ila ipo siku atatokea MTU ambaye atajaribu kufanya mageuzi "at a great cost" kama wenzake ila atasikika ulimwengu mzima!
 
Je trump alipo sema ...au akisema trump ni sawa ila mimi ndiyo nikisema nimekosea ..au umesha sahau huu uzi unajadili nini ? Huu uzi unajadili kuhusu waafrica wote wakiwemo waarabu koko kama wewe na marais wote acha uzuzu wewe pimbi.
 
Mbona Jay Z, Beyonce, Rihanna, Dr Dre hawalimbuki na pesa mkuu?
 
Miafrika ndivyo tulivyo.
 
Usichanganye mambo ngosha,ulinzi wa mkurugenzi sio sawa na ulinzi wa mkuu wa nchi, Waziri mkuu wa Japan aliuwawa kwa uzembe wa walinzi, makamu wa Raisi wa Argentina, chupu chupu auwawe kwa risasi, bunduki Ika goma.
Kuna watu humu Jf wameanzisha tabia ya kuwatukana watu weusi bila sababu, sijui ndio kuondoa stress zao binafsi.
 
Sawa kabisa,na hao walinzi je? Wanalindwa na nani??
 
Kwa kifupi
Kwa kifupi kwa mtu yoyote anafikiri hukosi kujiuliza swali hilo.
Kwa nini mababu zetu hawakupanda Melissa kwenda kutawala Ulaya?
Kwa nini mababu zetu walishindwa kuwafyekelea mbali wazungu wa kwanza walipoongia bara la Africa?

Kwa nini viongozi wetu wa Africa na kusoma kwao kote bado waliongia katika ubadhirifu wa hali ya juu, na kukubali kufuata matakwa ya wazungu Yasin na tija na kuifanya Afrika iwe nyuma!!
Kuna maswala mengi mno ya kujiuliza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…