Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Mkuu kwa madai ya hoja yako ya mwisho waafrika asili yao itakuwa wapi ? Au walitokea wapi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Zote Bado ni nadharia tu. labda tulitupwa kutoka edeni, ambako hatukuzoea shuruba za kujitaftia, kila kitu kilikuwepo.

Nadharia nyingine ukisoma kitabu cha the Book of Enoch, hao wazungu wametokana na muingiliano kati ya watchers/ annunaki/ fallen angels na watu weusi, ndio wakapatikana wao, so hizo teknolojia na maendeleo wanayopiga wanapewa usaidizi na hao watchers, ili waje waitawale tena Dunia, ukisoma kitabu cha The book of enock, baada ya maasi kuzidi kulikosababishwa na wanefili( vizazi vya watchers) , hao fallen angles walipewa adhabu ya kufungiwa chini ya Dunia,/kuzimu, na vizazi vyao /( wanefili) vikaangamizwa kwenye gharika ya nuhu

Kuna tafiti wanafanya wazungu wakisaidiwa na hao watchers mfano ile ya CERN ilioko uswizi ili waweze kufungua uko chini walikofungiwa hao watchers waje Duniani kutawala tena.

Hizo zote ni nadharia, ambazo hazijathibitishwa.
 
Asante Sana hakika JF ni chuo Cha maarifa,Kama una soft copy ya kitabu Cha Enoki nakiomba mkuu

Pia kwanini kitabu hiki wanatheolojia wameshindwa kukijumuisha kwenye biblia maana kinaonekana kuwa na information za muhimu sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Akili za waafrika kupata watoto ,mapenzi na uthenge mwingi kujiona mjanja na ushamba kibao ... waafrika tuko limited sana katika kutimiza malengo yetu leo kadada ka watu kametoka Maisha ya umaskini kana kipato kinajengea kwao kwanza ila kuendelea na Maisha yake wanakiforce kiolewe kiwe na mtoto huoni ni majukumu mawili wakati mmoja? Ilihali anaweza kujenga na kuja kuolewa baadae na kupata familia akaanza Maisha yake !

Sisi tuko limited katika kufanya maendeleo yetu wachache wanalitamvua hili na kuwa bussy na malengo yao ndo wanafika mbali ,ni Africa pekee kijana mdogo hana sustainable sources of income ila ana majukumu kibao ya kifamilia mara kidemu chake vitoto vidogo vinaota vipara na kutoka mvi na kufubaa kama wazee
Kweli
 
Mkuu japo ni mambo madogo,lakini yasema mengi! Hii culture ya ubosile sijui tumeipata wapi! Niliwahi kumpokea Mwamerika mmoja Airport Dar, alikuja na Private jet, kwa miaka hiyo alikuwa ni Tajiri dunia wa 23!
Alikuwa simple mno! Yeye na mkewe! Sikuona ma gold chains! Yeye alikuwa na sandals na kaptula.
Alisaidia kuingiza mizigo yake ndani ya gari na kuishusha tulipofika hotelier.
Kwa kifupi ndio alikuwa anafadhili NGO niliyokuwa nikifanya kazi, sio Tanzania bali ulimwenguni.
Kwa kifupi ndio aliyekuwa akiniweke mjini!
He was down to earth...nilijifunza kitu kikubwa mno!
Lakini hao wa hivyo sio From Italy, israel na Spain. Haya makabila ni wanafiki na wajivuni sana.
 
Hao weupe wamelelewa wamezikuta pesa na utajiri so kwao Hakuna kipya. Sisi wengi utajiri unakutana nao ukubwani baada ya kusota Sana ikiwemo kushinda njaa shuleni kilometa nyingi Sana.
Uko sahihi. Tajiri Mimi na Tajiri Rizione hatuwezi kuwa sawa. Lazima niwe na kibri sana
 
Zote Bado ni nadharia tu. labda tulitupwa kutoka edeni, ambako hatukuzoea shuruba za kujitaftia, kila kitu kilikuwepo.

Nadharia nyingine ukisoma kitabu cha the Book of Enoch, hao wazungu wametokana na muingiliano kati ya watchers/ annunaki/ fallen angels na watu weusi, ndio wakapatikana wao, so hizo teknolojia na maendeleo wanayopiga wanapewa usaidizi na hao watchers, ili waje waitawale tena Dunia, ukisoma kitabu cha The book of enock, baada ya maasi kuzidi kulikosababishwa na wanefili( vizazi vya watchers) , hao fallen angles walipewa adhabu ya kufungiwa chini ya Dunia,/kuzimu, na vizazi vyao /( wanefili) vikaangamizwa kwenye gharika ya nuhu

Kuna tafiti wanafanya wazungu wakisaidiwa na hao watchers mfano ile ya CERN ilioko uswizi ili waweze kufungua uko chini walikofungiwa hao watchers waje Duniani kutawala tena.

Hizo zote ni nadharia, ambazo hazijathibitishwa.
Kuna nadharia nyingi sana kuhusu mtu mweusi au human race in general. Lakini jambo moja ambao wote tunakubali, ni kuwa mtu mweusi ni phenomena ya ajabu! Aidha kuna laana, na kama huamini laana kuna kibaya kiitokea katika Evolution yetu!

Hebu angalia kwa mfano kwenye Berlin Conference 1884, mataifa madogo mno kama Belgium, German, Uingereza , France nk kukaa mezani na kuigawana Africa kama keki! Africa inameza kabisa nchi zote hizo! Hizo tawala kubwa za Kiafrika zilikuwa wapi? Kwa kifupi lazima ukubali zilikuwa gizani kabisa.

Na mpaka leo ukitaka kujua asili ya watu wa Africa au makabila, lazima urudi kwenye vitabu walivyoandika wazungu! Mababu walibakia kwenye oral traditions ambazo zilikuwa confined kwenye makabila yao tu.
Tulikuwa na dini na miungu yetu, lakini yote haya yalimwezwa kwa ujio wa Mzungu au Mwarabu, na lakusikitisha HATUWEZI KABISA KURUDI HUKO!
Hata hao wanaopiga kelele leo kwamba turudi kwenye tamaduni zetu au mila na desturi zetu hujui wanasema nini hasa! Na sijui wanajua tamaduni zetu ni nini!

We are confused as a race! Hatujui tufanye nini! Hatakujifunza tu! Tumeisha kuwa twisted kiakili. Wenye PHD na mbumbumbu wote sawa! Mzungu mmoja aliwahi kusema Mwafrika anahitaji Degree ya kwanza tu ili ku survive! Elimu zaidi ya hapo ni kupoteza muda wake! Haina msaada wa kubadili maisha yake! Au mwelekeo wake! Na labda ni kweli, hatuongezi kitu chochote katika teknoloji, philosophy etc.

Hivyo inawekana kabisa kuna ulimwengu mwingine kabisa ( mystic)
mebeba ukweli kuhusu Mwafrika! Na kuna jamaa mmoja alisema Mwafrika angelipata ufahamu wa elimu kama wa mzungu angekua mbaya kuliko mzungu!

Anyway labda siku moja kama huko nyuma tulikua great, upepo utatugeukia na kuwa juu tena!
 
Kuna uzi nilianza kuandika mwaka 2018, unahusu hichi ulichokisema hapa:
 
Mwafrika anaenda kuangalia na kukagua changamoto ya matundu ya choo sjui majengo ya madarasa,gharama ambayo haifiki hata mln 70...
Sasa huo msusuru wa magari thamani zake aliyotumia kwenda hpo
Utakuta inagota mln 800

Ova
 
Katika kila taifa wapo watu wa aina zote. Tajiri wa kiafrika asipoulamba ni nongwa pia mara oh pesa za masharti
 
Not irrelevant but practical...anyway tusubiri kujengewa vyoo na kupokea vyandalua! Maybe that is relevant!
Practical to what.

Anyways, vyoo tumejenga, tumekunya miaka yote hiyo wala hatukufa....Hivyo vyoo unvyodai, kuna wataalaam wanakwambia vyoo vya kukaa vinachangia kubakiza mavi tumboni, vinachangia magonjwa kadhaa na hata saratani....kunya shimoni raha, ukitoka mwepesi(ila kunanuka kama hapajakuwa na mfumo mzuri wa kutoa na kuingiza hewa) lakini kinajitosheleza. Isitoshe, kwa matajiri kuna vyoo vya kuchuchumaa....nenda Uarabuni! Vingine vya dhahabu!

Turudi kwenye mada.
 
teamWest vs teamEast , teamKobaz vs teamUpendo , teamUrusi vs TeamUkraine , team2Pac vs TeamBIG , hizi timu zote zipo miongon mwetu ila kiuhalisia hazituhusu ila kosa letu hatupendi vya ndani , the only smart race is ethiopians , those guys are royal to their ethnicity and race
Ni kweli kabisa mkuu, Africa ina safari ndefu sana ya kuungana na kuw kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom