Aliisaidia Yanga kupata sare na Azam lakini Yanga imemfunga Azam bila yeye kuwepo, hiyo hali unaionaje wewe? Tunazungumzia uungwana wa mchezaji kwa timu na mashabiki tu sio ubora wa Fei. Fei akipewa nafasi ya kuanza mechi kuna mchezaji mwingine bora anawekwa benchi. Nabi alikuwa anasema ninamchezesha Fei kwasababu ya uzawa wake tu na kuisaidia timu ya taifa lakini sio kwamba Fei alikuwa ni bora saaaana.We nae hamnazo tu kama timu yenu, unaweza kunitajia viungo bora wazawa wa Tanzania hata 3 tu, Bila kuwepo fei toto ?.
Fei toto amewasaidia sana utopolo saivi mnamuona hana kiwango subili mkianza kushona sare, mtamkumbuka sana
kwani yanga ina wachezaji wangapi wanaocheza namba ya Fei?Una amini Nabi alikuwa akimpa nafasi Feisal kwasababu ya upendo na sio uwezo?
Sidhani kama hiyo ni kauli ya kisport binafsi naamini umetania
Nyakati ambazo Feisali alikuwa anacheza eneo la chini na timu kuonekana kusua sua , mashabiki wenyewe ndio mliokuwa mnamvaa kocha na kusema kocha kazingua kumchezesha eneo la chini.
Kuotoweza kufika mbali kisoka hiyo ni kawaida, haimaanishi kutasababishwa na yeye kuondoka Yanga.
Ajibu alikuwa misimu mitatu iliyopita alikuwa bora na TP Mazembe waliweka dau kumtaka lakini alikataa offer na kuendelea kubakia ligi kuu
Lakini wote tunaona namna alivyoshuka uwezo na wapo wengine wanaofikiria kuwa kushuka kwake kumesababishwa na kuendelea kusalia kwenye ligi yetu baada ya kukataa offer ya Tp Mazembe.
Nimeona wamepeleka malalamiko TFF nadhani wapo kwenye taratibu za kumshtaki japo naamini kuna asilimia kubwa wakashindwa kesiNa Kwa Nini wasimshtaki wanabaki tu kutuletea blaa blaa?
Inaweza ikawa na wachezaji hadi 10 kwa nafasi ya Feisali lakini kati yao kusiwe na mtu yeyote mwenye kufikia Quality yakekwani yanga ina wachezaji wangapi wanaocheza namba ya Fei?
Fei awe mpole tu ,akitanua makwapa itakula kwake na kukosa yote! Japo maslahi muhimu/kwanza ilimpasa awaambie viongozi wake before kwamba nimepata offer hii sehemu flani nataka kwenda ,zipo taratibu za kuvunja mkataba peacefully yaani pande zote mbili kuridhia...Fei akitaka kumwaga ugali kitemi Yanga watamwaga mboga.Nimeona wamepeleka malalamiko TFF nadhani wapo kwenye taratibu za kumshtaki japo naamini kuna asilimia kubwa wakashindwa kesi
Naamini swala la kuvunja mkataba halikufanywa na maamuzi ya mchezaji bali wahusika wanaomtaka. Bila shaka waliangalia weakness ya mkataba na lazima wawe watu wanaojua sheria
Kaka kila mkataba wa kazi kuna kifungu na namna ya kusitisha makataba wa ajira. Kifungu hiko lazima kiendane na sheria za nchi na ile ya ILO (shirika la kazi duniani), Kwenye mpira wa miguu pia lazima kuwepo na kifungu zinachomruhusu mchezaji na club kulazimika kuvunja mkataba wao, na kifungu hicho ni lazima kiendane na kanuni za TFF, CAF na FIFA. Huwezi kujitungia mkataba wako tu unavyopenda wewe bila kuzingatia TFF, CAF na FIFA. kwahiyo ni utoto kusema Yanga wamekosea kuweka kifungu kama hicho. Sababu za kuvunja mkataba ni lazima zijadiliwe na pande zote mbili na ikishindikana anaingia mtu wa tatu kama TFF, CAF au CAS au wote kwa pamoja.Mkuu tatizo hatutaki kukubali wapi tulipoteleza. Kosa ni la Yanga sio la Feisal. Kosa la Yanga ni kuweka kipengele cha kijinga vile, ule ni upumbavu wa kiwango kikubwa. Yanga wanakosa mtu wa kuandaa mikataba ya kulinda wachezaji wao kimaandishi
Mkuu mbona aliwajulisha kupitia barua pepe huku akiweka na vifungu vya mkataba vinavyo msapoti kuvunja mkataba?Fei awe mpole tu ,akitanua makwapa itakula kwake na kukosa yote! Japo maslahi muhimu/kwanza ilimpasa awaambie viongozi wake before kwamba nimepata offer hii sehemu flani nataka kwenda ,zipo taratibu za kuvunja mkataba peacefully yaani pande zote mbili kuridhia...Fei akitaka kumwaga ugali kitemi Yanga watamwaga mboga.
Mkuu mbona aliwajulisha kupitia barua pepe huku akiweka na vifungu vya mkataba vinavyo msapoti kuvunja mkataba?
Mkataba unasainiwa kutokana na makubaliano ya pande mbili, Kama ni kuongezewa pia ni suala la pande mbili... Haiwez kutokea hata siku moja mfanyakazi akaamrisha muajiri afanye anachotaka mfanyakazi. Alichokifanya ni utoto na uhuni usio wa kimpira...Thamani ya mchezaji huwezi ukaifanyia reference na thamani ya nyanya juu ya fungu.
Na ndio maana Yanga walikubali kumuongezea mshahara wake kumfanya aendelee kubaki
Unafikiri wao walikuwa wapumbavu hawajui wanachokifanya kuwa mkataba walioandikishana haukuwa na makubaliano ya kiwango kuwa juu mpaka kuamua kumpa kile anachokitaka??
Amewapaka wavi usoni wazanzibar wenzake, Yaani mashabiki wa timu ya yanga wakimuona mchezaji mzanzibar ni kama vile wamemuona Fei, hovyo kabisa.Hata kama angalikuwa analipwa sh moja, taratibu za uondokaji zizingatiwe. Nani anakumbuka kisa cha Makelele na Real Madrid? Fei kuondoka Yanga sio tatizo, shida inaanzia pale anapowaacha waajiri wake waliokuwa wamemweka kwenye programu yao kwa dharura, ni kama shambulizi la kushitukiza na hivyo kuvuruga mpango wa timu. Alipaswa kutoa tahadhari kwa uongozi kuwa msimu uliomalizika na hali ikiendelea kuwa hivi atalazimika kuondoka.
Fei sio mfano mzuri kwa vizazi vijavyo vya soka.
Kiburi cha waliomtamani na kumrubuni Fei kilianzia pale alipofunga mabao 2 dhidi ya Azam. Lakini wanashindwa kujua pale Yanga alikuwa anacheza na akina nani hata afunge magoli.Una uhakika Mayele hakuna timu inayohitaji huduma yake mpaka sass? Kuna performance halafu kuna performance za kushawishi timu zingine zikugombanie. Embu niambie wakati Yanga wana muongezea Feitoto mkataba je wewe ulisikia timu zipi zilikuwa zina mgombania Feisal?
Ni kweli lazima pande mbili zihusike ili mkataba ufanyikeMkataba unasainiwa kutokana na makubaliano ya pande mbili, Kama ni kuongezewa pia ni suala la pande mbili... Haiwez kutokea hata siku moja mfanyakazi akaamrisha muajiri afanye anachotaka mfanyakazi. Alichokifanya ni utoto na uhuni usio wa kimpira...
Hakuna mtu ambae angemuongezea hela from no where kiboyaboya kwakuwa ametaka, bali wangemuongezea mkataba kuurefusha na maslahi mapya ya mkataba huo. Wamepatana dinali atalipwa dinali. Yanga ingekosea sana sana sana kama ingemuongezea pesa Fei hivihivi kiboya, maana na wengine wangelianzisha. Fei lazima apewe athabu kali kabisa, asipewe leseni wala release letter ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.Mkuu kwani juzi wakati mnasaini mkataba mpya kwanini hamkufikiria kipengele hicho kama mliona kuna kero inaweza kujitokeza endapo mtataka kuongeza maslahi katikati ya mkataba?
Kama maslahi hayarekebishwi katikati ya mkataba mbona punde tu baada ya kuonesha nia ya kuondoka mlikuwa tayari kumpa hitaji lake ili kumfanya aendelee kubaki bila kujali ni katikati ya mkataba??
Walipatana dinaliNi kweli lazima pande mbili zihusike ili mkataba ufanyike
Lakini kumbuka hii ni Club kubwa yenye kuongozwq na watu wenye elimu ya mpira na elimu ya darasani
Value ya mchezaji kisoka inafahamika kupitia perfomance plus umri.
Mchezaji mwenye perfomance inayokuwa bora lazima awe na thamani inayolingana na uwezo wake.
Sasa kwa Feisali tukiangalia mshahara wake unaona unaendana na value yake uwanjani??
Sina hakika ila naamini kuwa huwenda Kisinda, Moloko wakawa wanapokea pesa ndefu kumzidi Feisali
Tusitumie ushkaji wa kujuana eti kwasababu umemlea tangu mdogo, hiyo kwenye football haipo.
Zipo Club kubwa huko zina train watoto wadogo kuanzia miaka 9 na siku wakiwa na kiwango bora wanalipwa mshahara mzuri bila kuangalia kuwa wanelelewa na Club husika.
Feisal amekuja akiwa mchezaji wa kawaida kabisa, tena alikuwa akifunikwa hata na mwenzake Bui. Msimu huu kiwango chake kimekuwa juu sana na amekuwa katika ya wachezaji wa kuzungumziwa.Amewapaka wavi usoni wazanzibar wenzake, Yaani mashabiki wa timu ya yanga wakimuona mchezaji mzanzibar ni kama vile wamemuona Fei, hovyo kabisa.
Mkuu tusichanganye mambo mawili hapa, mchezaji analipwa kutokana na kiwango alichonacho kwa wakati huo au kutokana na mkataba wake unavyosema??. Mkataba ni malidhiano yenye kuleta tija pande zote mbiki, ukishasaini mkataba wa maslahi yako means umelidhia kuwa hicho umekikubali kinakufaa!!. Suala la mchezaji kutaka kupewa maslahi mengine ni haki yake Kama mfanyakazi lakini hauna uwezo wa kuvunja mkataba ambao una terms kibao, yaani unaweza kupewa tu ofa na timu fulani ukaaamua kuvunja mkataba na boss wako bila kurudi mezani?.Ni kweli lazima pande mbili zihusike ili mkataba ufanyike
Lakini kumbuka hii ni Club kubwa yenye kuongozwq na watu wenye elimu ya mpira na elimu ya darasani
Value ya mchezaji kisoka inafahamika kupitia perfomance plus umri.
Mchezaji mwenye perfomance inayokuwa bora lazima awe na thamani inayolingana na uwezo wake.
Sasa kwa Feisali tukiangalia mshahara wake unaona unaendana na value yake uwanjani??
Sina hakika ila naamini kuwa huwenda Kisinda, Moloko wakawa wanapokea pesa ndefu kumzidi Feisali
Tusitumie ushkaji wa kujuana eti kwasababu umemlea tangu mdogo, hiyo kwenye football haipo.
Zipo Club kubwa huko zina train watoto wadogo kuanzia miaka 9 na siku wakiwa na kiwango bora wanalipwa mshahara mzuri bila kuangalia kuwa wanelelewa na Club husika.
Haya ni mambo mawili yanayotegemeana huwezi kuyatenganishaMkuu tusichanganye mambo mawili hapa, mchezaji analipwa kutokana na kiwango alichonacho kwa wakati huo au kutokana na mkataba wake unavyosema??.
Hili nakubaliana na wewe lakini bado linamaelezo yakeMkataba ni malidhiano yenye kuleta tija pande zote mbiki, ukishasaini mkataba wa maslahi yako means umelidhia kuwa hicho umekikubali kinakufaa!!.
Mkuu swala la kuvunja mkataba lina vipengele vingi na sio lazima uvifate vyoteSuala la mchezaji kutaka kupewa maslahi mengine ni haki yake Kama mfanyakazi lakini hauna uwezo wa kuvunja mkataba ambao una terms kibao, yaani unaweza kupewa tu ofa na timu fulani ukaaamua kuvunja mkataba na boss wako bila kurudi mezani?.
Mzamiru anaweza akadai mshahara kwasababu sio dhambi ni swala la makubaliano tu na Simba kama haimlipi vizuri basi siku imetokea offa kutoka Club nyingine sitegemei kuona Simba inamuita tena mezani kufanya mazungumzo kumpa kile alichokiombaKwahiyo Mzamiru adai maaslah mapya saizi kwakuwa yupo kwenye top performance?. Kama mikataba ingevunjwa kwa stahili hii basi ingekuwa kichekesho .
Kukaa chini wakati mko ndani ya mkataba wala sio issue,djuma,bangala na mayele wameongeza mkataba wakiwa ndani ya mkataba,hata fei mwenyewe aliongeza akiwa ndani ya mkataba so aikua dhambi kukaa tena na Yanga akiwa ndani ya mkataba,hata leo hii diarra ameongeza mkataba akiwa bado mkataba wa awali haujaisha,fei afuate taratibu za kuvunja mkataba Yanga wala awatomng'ang'ania lkn sio huu uhuni anaoutumia,mikataba kama ingekua inavunjwa hivyo sipati picha vurugu ambazo zingekuwepoSasa mkuu ebu tuchukulie swala la Feisal ku demand maslahi zaidi kabla ya mkataba kuisha ni jambo ambalo linakiuka kanuni
Tukubaliane hapo kuwa ni kosa kisheria
Sasa mbona Yanga ilikuwa tayari kukaa chini na Feisali kumkubalia ombi lake la kuongezewa mshahara?
Hiyo kikanuni imekaaje?