UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

Yaani hapa ndio unaona umeficha aibu iliyoko mbele yako?
 
Mijitu inatamba kuwa tumenunua madege, sgr, flyover nk wakati tunashindwa hata kujijijengea vyoo mpaka tusaidiwe na beberu
 
Shida sio Rais nimfumo hata Rais huwoni magari yake. Umasikin kitu kibaya Sana masikini mara nyingi akipata ni shida. Hawa wamesahau walipo toka na wanaanza kuila nchi Kwa magari ya kifahari.
Raisi wa wanyonge aliwahi kuahidi kupiga mnada mashangingi na maboss kutumia pickup sijui alishia wapi
 
Hii ya lini kwani? Si mlisema mabeberu wamekataa kutoa msaada kwa ajili ya Lisu kushindwa uchaguzi?
Hawajatoa pesa, wamejenga wenyewe. Hapo yanakabidhiwa majengo ili yachakae tena

Wangetoa pesa zingeeenda kwingine
 
Awaangazie mwanga wa milele wenye ngozi nyeusi
 
dona kantri inajengewa vyoo na wanaowaita "mabeberu" , wanakatwa "govi" au mkono sweta, wanapewa chanjo bure, wanalipiwa bajeti ya nchi, madawa, dah alafu kuna lijitu macho yanamtoka kama mjusi kabanwa na mlango linasema "eti wanatuonea wivu" duh m, aliyeiloga afrika kafa.
 
Ila nadhani chuki yao ni ndogo ukiliinganisha na chuki ya mtu mweusi kwa mtu mweusi
Hivi uliiona ile video ya I CAN'T BREATH? Kule US wanabagua na kuwatesa black Americans! Usidanganyike kujifanya rafiki kwa mzungu. Mzungu atakukenulia meno ila moyoni ana chuki sana dhidi ya blacks.
 
Amina ! Mabeberu oyeee !😁
 
Hivi uliiona ile video ya I CAN'T BREATH? Kule US wanabagua na kuwatesa black Americans! Usidanganyike kujifanya rafiki kwa mzungu. Mzungu atakukenulia meno ila moyoni ana chuki sana dhidi ya blacks.
Ila afadhali yule mzungu alifukuzwa kazi na yuko jela. Na kana hilo halitoshi wazungu kibao walishiriki maandamano ya kulaani tukio hilo.

Huku kwetu aliyemuua Akwilini bado anakula kuku. Hata viongozi wa dini hawaoni tatizo lolote lile ndio kwanza wanawaabudu watawala wanaoua watu au kubariki mauaji kila siku.
 
Andiko lako limenitoa machozi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…