Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
My friend, huu si muda wa kufikirifikiri, ni muda wa kufumbua macho na kutenda what is right as best as we can. Tumecheleweshwa sana!SITAKI KUAMINI KAMA PAMOJA NA KUWA NA UCHUMI WA KATI BADO KUNA SHULE ZINA VYOO VYA AINA HIYO
Tanzania ni ya kijani sasa, nadhani hakuna mtu atapewa tena mzigo wa lawamaMy friend, huu si muda wa kufikirifikiri, ni muda wa kufumba macho na kutenda what is right as best as we can. Tumecheleweshwa sana!
Yes. Kama mkitulia tuli msiendelee kupiga mikelele isiyo na tija kwa taifa zuri la Tanzania.Tanzania ni ya kijani sasa, nadhani hakuna mtu atapewa tena mzigo wa lawama
Nani kawachelewesheni? Kawachelewesheni wapi? Kwanini mlimruhusu awacheleweshe?My friend, huu si muda wa kufikirifikiri, ni muda wa kufumbua macho na kutenda what is right as best as we can. Tumecheleweshwa sana!
Aliyetuingiza mkenge meli ya MV Dar es Salaam tunamjua, ndiye anayewasingizia wenzake kuwa wamewachelewesha WatanzaniaTanzania ni ya kijani sasa, nadhani hakuna mtu atapewa tena mzigo wa lawama
Kwa hiyo hata kelele zinakwamisha maendeleo?Yes. Kama mkitulia tuli msiendelee kupiga mikelele isiyo na tija kwa taifa zuri la Tanzania.
Unakumbuka vizuri Mjengoni Dodoma walikuwa hawapigi ngumu wala mateke bali makelele.Kwa hiyo hata kelele zinakwamisha maendeleo?
Watu kama wewe msiopenda wala kutaka kuamini kuwa Tanzania mpya hiyo, na kwamba tungepaswa kuwa nchi hisani kwa mataifa mengine mengi tu, siku nyingi tu. Sisi tunavuta kuja kwenye miundombinu, huduma za elimu, afya na maji lakini wao wanavutia kwenda kwa maandamano, uhasama na uhalifu, ghasia, uzushi na kupinga kila kitu.Nani kawachelewesheni? Kawachelewesheni wapi? Kwanini mlimruhusu awacheleweshe?
Jibu maswali hayoWatu kama wewe msiopenda wala kutaka kuamini kuwa Tanzania mpya hiyo, na kwamba tungepaswa kuwa nchi hisani kwa mataifa mengine mengi tu, siku nyingi tu. Sisi tunavuta kuja kwenye miundombinu, huduma za elimu, afya na maji lakini wao wanavutia kwenda kwa maandamano, uhasama na uhalifu, ghasia, uzushi na kupinga kila kitu.
Yes. Kama mkitulia tuli msiendelee kupiga mikelele isiyo na tija kwa taifa zuri la Tanzania.
Yaani we acha tu!Siasa mchezo mchafu sana!
Mkuu, hayo yalikuwa maneno ya kujifariji baada ya kugalagazwa kwenye uchaguzi, kwa wakaona watoke na singo ya aina fulani ili kuficha aibu.Hii ya lini kwani? Si mlisema mabeberu wamekataa kutoa msaada kwa ajili ya Lisu kushindwa uchaguzi?
Mkuu Eythrocyte nakupongeza kwa kuanza kubadilika na kuachana na ile milengo ya upingaji wa kila kitu, angalau sasa umeanza kuweka post zinazoonyesha kuwa unajihusisha na mahitaji halisi wa jamii. Hongera mkuu.Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo...
Wacha kueneza majungu, hayo ni matusi tu kwa Watanzania. wametuibia vya kutosha wakirudisha kile waichoiba hata asilimia 10 tu wangeona aibu kutangaza kwamba wamejenga vyoo.Hii ya leo , misaada ya kibinadamu itaendelea tu
Labda, huenda, nipatie majibu yako mengine ili nikujibu maana nimekujibu kikamilifu.Jibu maswali hayo