UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

Na nyie mtumie akili badala ya kuimba mapambio ya kumsifu Jiwe usiku na mchana!!
Kumbe shida yako ni mapambio? Pole sana tu. Watu kama nyie ndio mlitungiwaga Methali: Bahati ya mwenzio usithubutu kujilalia mlango wazi. Mbona Mr Mzungu wenu mlianza kumkweza sana tu hata kabla hayafanya lolote la maana? Umejisahaulisha haraka kiasi hichi zile slogan zenu za "NI YEYE"!?? Na hapo ndiyo kwanza alikuwa angali akisaka tonge chamani!
 
Yaani we acha tu!!
Kwa kuanzia ni kuwa vyoo vimejengwa kwa msaada wa USAID
sasa hii Tanzania sio masikini inatoka wapi? kkbbbkkke😡😡😡
Nilitamani kukujibu nikakumbuka watu sampuli yako huwa hawaelewagi chochote chenye maana.
 
Ulitaka watoto wetu wajisaidie vichakani hadi lini ?
Hivi hua unafikiri,kwa kutumia kiungo gani?
Jamii yote iliylzunguka hiyo shule yenye choo kibovu imeshindwa kujenga?
Kijiji,kata,tarafa,wilaya,kite huko Kuna maafisa husika,hicho choo hawakukiona mpaka mmarekan kaja?.
Unaandika tu,hivyo hivyo.
 
Pongezi zako nazikataa ni za kinafiki
 
Hivi hua unafikiri,kwa kutumia kiungo gani?
Jamii yote iliylzunguka hiyo shule yenye choo kibovu imeshindwa kujenga?
Kijiji,kata,tarafa,wilaya,kite huko Kuna maafisa husika,hicho choo hawakukiona mpaka mmarekan kaja?.
Unaandika tu,hivyo hivyo.
Mkuu uzi huu uangalie kwa jicho la 3 , kwa hayo macho yako mawili uliyozaliwa nayo huwezi kuelewa chochote
 
hahahahahahah ndo vya KISASA
 
Hapo watakwambia hao ni wadau wa maendeleo, subiri waseme kura ziliibwa utaisikia mabeberu hao, mara vita vya kiuchumi na porojo zingine

Huku watu wananunu gari za mil 450+
Waafrika ni wapumbavu Sana. Hadi choo Cha shule tujengewe huku mtu mmoja anamsafara wa magari 100!
 
Mbona vimepakwa rangi ya dawasco,ina maana walikosa rangi nyingine ?
 
Waafrika ni wapumbavu Sana. Hadi choo Cha shule tujengewe huku mtu mmoja anamsafara wa magari 100!
Na wazungu wanatukejeli tu,mpaka picha ya choo tulichosaidiwa kujengwa inawekwa kwenye tovuti ili waweke kumbukumbu ya kuwakata midomo
 
Um
Umenena vema ila umesahau kuwa hao walimu na wajumbe wa kamati za shule ukiona wanapojistili hicho choo cha shule ni bora, ktk mazingira hayo hawawezi kuona umuhimu wa vyoo bora kwa wanafunzi 🎃
 

Umeandika kwa hisia kali, pole sana.

Hilo ndo lengo la mabeberu! kushika hisia za walengwa ili waendelee kutucolonize kifikra

Hivi unafikiri kwao hakuna maskini wa kutupwa tena ambao hata hawajui kesho yao kama wataishi?!
Hujiulizi kwanini wasiaaidie huko?!

Beware misaada yao ndo umaskini wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…