paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Umeongea Kwa uchungu Hadi nimejikuta chozi likinitoka aiseeSijui tumelaaniwa na nani yarabi! Hata vyoo? How comes choo cha shule kinaachwa hadi kifikie hali inayoonekana kwenye picha ya kwanza? Mkuu wa wilaya yupo; afisa elimu wilaya yupo; DED yupo; mbunge yupo; (wote hao ni mwendo wa VX-R V8); maafisa kata wapo; kamati za shule zipo; wazazi wapo; mwalimu mkuu yupo; walimu wapo; tatizo nini? Kazi yao nini? Kula mishahara?
Hadi beberu atoke maelfu ya maili huko kugundua kuna vyoo vya shule nchini Tanzania vimechoka? Nchi hii haina tatizo la fedha tena; lilishakuwa historia tangu awamu ya tano iingie madarakani! Wapinzani walokuwa wanatuchelewesha hawapo tena!
Tuna Baadhi ya viongozi ambao ni washenzi Sana, Wapo Kwa ajiri ya faida zao Tu na sio kusaidia jamii
Raisi wetu aongeze kutumbua majiti yasiyojielewa