linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
wewe ndio haujui ukweli,kwani saivi hakuna waafrika wanaokwenda nchi za kiarabu kutafuta ajira? Nafasi nyingi tu zipo na watu wanakwenda.
Na hii ndio system iliokuwepo zamani huko zanzibar, waarabu walikua na mashamba yao na wanaajiri watu kutoka sehemu mbali na kuwalipa, hawa waajiriwa ilikuwa wanakuja wenyewe kutokana na hali ya maisha kuangumu uko waliko, iyo historia uliyosoma skuli sio ni.uongo tu kama unavodanganywa mambo mengine
wazungu kweli walitupatia yaaani wanaume woooote hao wanaongozwa na mzungu mmoja tu hata kugoma hawagomi ? mmmmmmmmmmmh kweli akili ni zaidi ya nguvu za misuli
Wakuu,
Mwelekeo tu wa thread hii,unaonyesha wazi kuwa WAAFRIKA TUNA MATATIZO ndani ya vichwa vyetu!
Hapa mleta hoja alikuwa anatuamsha na tuone jinsi hawa wakoloni walivyotufanya wanyama na kutushawishi tujitambue!!
Cha ajabu eti badala ya KUUNGANA na kupeana moyo na kuzikataa hila zote za kikoloni dhidi yetu kuwa sisi si watu,eti tunagombanana sisi kwa sisi tukitetea MABWANA ZETU waliowafanya babu zetu watumwa!!!!#!
Hivi kama dini zao zinatufanya tuwe hivi,kwa nini hatujiulizi UOVU wote waliouleta chini ya mwamvuli wa dini zao!!?
Mie nawaomba sana,linapokuja suala la UAFRICA wetu tuvue dini zetu pembeni na tupiganie utu wetu kama waafrika!!
May God bless AFRICA!
Jee, huelewi kuwa hao hao babu zako ndio walikuwa wakiuzana wenyewe kwa wenyewe kwa kubadilishan na shaanga na vioo? soma historia.
Naona ni ujuha kuanza kulaumu mtu aliyekuja kununua biashara amabayo ameuziwa na babu yako ukaanza kumlaumu.
Kwanini tunataka kuficha historia ya ukweli?
Siamini kuwa Mwaarabu au Mzungu mmoja aje peke yake aakamate watu na wao wanamuangalia tu. Historia ya ukweli haipo hivyo, tunaelewa kuwa Waafrika walikuwa mashujaa, tunaelewa kuhusu akina Kimweri, Milambo, Mkwawa, Songea na wengineo waliopigana vita kukataa kudhadhalishwa na wazungu.
Ukweli ni kuwa Waafrika wenyewe walikuwa wakifanya boashara hii na wanunuzi walikuwa wakija kutoka nje. Tena kwa thamani ya shanga na vioo tu, usishangae, shanga na vioo enzi hizo vilikuwa ni vitu vya thamani kubwa kwa kuwa walikuwa hawavijui na ni vya ajabu sana kwao. Kam vile sasa noti, Waafrika leo hii tunauzana wenyewe kwa noti, kwani thamni yetu ndio imefikia hapo.
Naona bora mababu walikuwa na akili kwa kuuza wenzao kwa vioo na shanga kuliko sasa tunauzana kwa noti aka makaratasi.
Sina agenda yoyote..., ila kiukweli ni kwamba waafrika bado ni watumwa..., waulize CCM watakuambia ni kweli au sio...
[h=1]Why Africans Are Not United[/h] [h=2]October 9, 2014 Nigerian photographer and filmmaker Taye Balogun came to Kenya to create a collection of images that would artistically expose some of the most critical challenges facing the region right now. The result is the provocative Why Africans Are Not United[/h]"Religion Propaganda". Nigerian photographer and filmmaker Taye Balogun believes one of the instruments that have been used to keep Africans divided is religion. Photo by Mutua Matheka; concept by Taye Balogun
If you think youll get a definitive answer when you go to see the provocative photographic exhibition conceived by Taye Balogun and photographed by Mutua Matheka titled Why Africans Are Not United, then think again.
The title of the exhibition, which is currently on a Pan African tour, certainly suggests that viewers of the show will be let in on the secret of why there seems to be so much disunity among Africans, at the local, regional and continental levels.
The images reflect Baloguns commitment to using photography to talk about what African Union is notHowever, the exhibition raises many more questions than answers to this salient topic, which is actually what the designers of this unusual and even surreal collection of images meant to do.
Calling their photographs conceptual rather than surreal (which they also are!), Taye Balogun believes people need to understand the problems confronting the continent first before they can seriously start to problem-solve. It was he who came to Kenya with the concept in mindto create a collection of images that artistically expose some of the most critical challenges facing the region right now.
Married to an East African whom he met back home in Nigeria, Balogun ostensibly arrived in Kenya to see his Tanzanian wife who works for Oxfam in Nairobi. But the Pan African photographer and filmmaker couldnt help looking for fellow artists who might be keen to collaborate with him, using their art to probe pertinent issues and problems plaguing Africa at present.
Education is a Showbiz. Photo by Mutua Matheka; concept by Taye Balogun
He found such an artist in fellow photographer Mutua Matheka, one of Kenyas most renowned image makers. Best known perhaps for his cityscapes, Matheka says he was definitely intrigued with Baloguns critical vision. He was also challenged artistically as they strove to devise images that conveyed concepts that not only raised questions, but at their core also raised issues that are political, economic, religious, psychological and even philosophical.
Unlike photographs that are most iconic when it comes to framing Africa visually, Mathekas and Baloguns images are neither beautifulfilled with wildlife or panoramic landscapesnor empatheticfilled with refugees in flight from conflict, famine or dreaded disease.
The skulls obviously have no capacity to think so who but the white man is left to decide what will ensue at the forumInstead, they reflect Baloguns commitment to storytelling or using photography (and film) to talk about what African Union is not. There is a hint in the exhibition that the continent is one giant failed state especially as many of the early African freedom fighters were Pan Africanists who believed the region could progress most effectively if it was unified. Instead, Balogun talks about Africa being a disjointed continent.
The photographs are carefully composed and when necessary also photoshopped to convey the specific theme and meaning that the two artists aim to address. Evocative in the symbolic nature of every framed photo, the titles often serve as the easiest way to begin unpacking the messages in each frame.
For instance, titles like Mental Slavery, Education is a Showbiz, Invisible Borders and Jungle Justice all work as metaphors to compel one to look deeply at each photo. Interestingly enough, each one often has a very personal connection to the artists.
In the case of Invisible Borders, Balogun recalls the difficulty he had as a Nigerian trying to get into Kenya from an adjacent state. Soldiers at the border informed him that folks from his homeland were banned from entry. The reasons were unclear, even invisible, but they inspired the photograph that features two armed men standing to block passage across an unseen political boundary.
Trade. This photo explains the hurdles Africans put on themselves when trading with each other. Ironically foreign products can be found everywhere in Africa. Photo: Thomas Rajula
Seeing this showcase of images as satirical is another useful way of understanding the mix of irony, humour and pathos thats infused in the images. For instance, a photo like African Leadership Forum is set in an almost empty classroom with only one white man seated amidst desks topped with dead cow skulls. The skulls obviously have no capacity to think so who but the white man is left to decide what will ensue at the forum. The answer is obvious.
The redemptive feature of the show is the series of quotations by authentic African and Pan African leaders like Nyerere, Lumumba, Biko, Mandela, Sankara and Martin Luther King that are included as way-showers whose wisdom still has validity for Africas future. Mug shots of all these men, including even more controversial figures such as Gaddafi and Haile Selassie are also there with the aim of sharking further discussions about how their vision can be revived and revisited for the sake of rebuilding an authentic African union.
Why Africans Are Not United had its first showing in Nairobi, Kenya, and is now in Dar es Salaam, Tanzania. After that, it will be seen everywhere from Addis Ababa to Johannesburg and Lagos.
Hapana sio kweli hata wanawake walipelekwa pia na ushahidi upo mwingi tu na huko Kuwait kulikuwa na mfalme mwafrika ambae mama yake alikuwa ni mtumwa na baba yake mwarabu View attachment 192960
Wakuu,
Mwelekeo tu wa thread hii,unaonyesha wazi kuwa WAAFRIKA TUNA MATATIZO ndani ya vichwa vyetu!
Hapa mleta hoja alikuwa anatuamsha na tuone jinsi hawa wakoloni walivyotufanya wanyama na kutushawishi tujitambue!!
Cha ajabu eti badala ya KUUNGANA na kupeana moyo na kuzikataa hila zote za kikoloni dhidi yetu kuwa sisi si watu,eti tunagombanana sisi kwa sisi tukitetea MABWANA ZETU waliowafanya babu zetu watumwa!!!!#!
Hivi kama dini zao zinatufanya tuwe hivi,kwa nini hatujiulizi UOVU wote waliouleta chini ya mwamvuli wa dini zao!!?
Mie nawaomba sana,linapokuja suala la UAFRICA wetu tuvue dini zetu pembeni na tupiganie utu wetu kama waafrika!!
May God bless AFRICA!
Yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo na yajayo.
Swali lako zuri sana! Hata mimi nikiwa mdogo nilishawahi kumuuliza babu yangu kua ni kwanini huku kanisani picha ninazoziona ukutani na mazabahuni kama vile zile picha za Mitume/Malaika/Yesu na Bikira Maria ni wazungu tu na picha ya Shetani ni kiumbe cheusi???Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa anamtoboa enka.., u neva know..!
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho CCM wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Mkuu,
Biashara bila soko haifanyiki!
Hao babu zetu waliwauza hao wenzao kutokana na nguvu wakoloni waliyokuwa nayo!
Na si kwamba ni babu zetu wote walihusika na biashara hiyo ,ni baadhi tu ambao walikuwa vibaraka wa hao wageni!!
Kwa hiyo suala la utumwa lilikuwa ni baya kwani lilikuwa linafanyika kwa kutumia nguvu na bila ya ridhaa ya yule anayefanywa mtumwa!
Na kushiriki kwa waafrika wenzetu kwenye biashara hiyo mbaya hakuifanyi biashara hiyo kuwa ilikuwa nzuri!
AFRICA kwanza!
naomba unitajie tafadhali.Mtumwa apelekwe nchi za arabuni akafanyekazi gain,enzi hizo?Wakati ni jangwa hakuna kilimo wala mifugo,watumwa walipelekwa America na ulaya kwenye mashamba.Ilipoingia teknolojia ya mashine,mtumwa hakuhitajika tena.Ndio wazungu wakajitia kupiga marufuku utumwa.Wapo watu weusi wengi nchi za kiarabu,lakini hawakwenda kama watumwa,walikwenda kutafuta maisha.Na wengi wamefanikiwa kimaisha.Kwa mfano Oman upon mji unaitwa Salalah,wapo wengi na ni mji wao,na wanamaendeleo makubwa sana.Na inasemekana kiongozi wa nchi ya Oman mama ake ni mtu mweusi.Na ni nchi pekee duniani,yenye wa Tanzania wengi,wenye kazi za kiserekali,na wengine ni mawaziri.Na vilevile ni nchi pekee duniani,kiswahili kuwa lugha ya pili kuzungumzwa na wananchi wake.Katika kila watu watano,watatu wanajuwa kiswahili.Na wa Tanzania walioko Oman hawajaacha utamaduni wao wa asili,makabila mengi ya Tanzania yako Oman.
Hivi Uarabu ni kufuga Ndevu wewe Mtetea!