Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

wewe ndio haujui ukweli,kwani saivi hakuna waafrika wanaokwenda nchi za kiarabu kutafuta ajira? Nafasi nyingi tu zipo na watu wanakwenda.

Na hii ndio system iliokuwepo zamani huko zanzibar, waarabu walikua na mashamba yao na wanaajiri watu kutoka sehemu mbali na kuwalipa, hawa waajiriwa ilikuwa wanakuja wenyewe kutokana na hali ya maisha kuangumu uko waliko, iyo historia uliyosoma skuli sio ni.uongo tu kama unavodanganywa mambo mengine

unayajua mateso wanayoyapata?
 
Wakuu,

Mwelekeo tu wa thread hii,unaonyesha wazi kuwa WAAFRIKA TUNA MATATIZO ndani ya vichwa vyetu!
Hapa mleta hoja alikuwa anatuamsha na tuone jinsi hawa wakoloni walivyotufanya wanyama na kutushawishi tujitambue!!

Cha ajabu eti badala ya KUUNGANA na kupeana moyo na kuzikataa hila zote za kikoloni dhidi yetu kuwa sisi si watu,eti tunagombanana sisi kwa sisi tukitetea MABWANA ZETU waliowafanya babu zetu watumwa!!!!#!

Hivi kama dini zao zinatufanya tuwe hivi,kwa nini hatujiulizi UOVU wote waliouleta chini ya mwamvuli wa dini zao!!?

Mie nawaomba sana,linapokuja suala la UAFRICA wetu tuvue dini zetu pembeni na tupiganie utu wetu kama waafrika!!

May God bless AFRICA!
 
Wakuu,

Mwelekeo tu wa thread hii,unaonyesha wazi kuwa WAAFRIKA TUNA MATATIZO ndani ya vichwa vyetu!
Hapa mleta hoja alikuwa anatuamsha na tuone jinsi hawa wakoloni walivyotufanya wanyama na kutushawishi tujitambue!!

Cha ajabu eti badala ya KUUNGANA na kupeana moyo na kuzikataa hila zote za kikoloni dhidi yetu kuwa sisi si watu,eti tunagombanana sisi kwa sisi tukitetea MABWANA ZETU waliowafanya babu zetu watumwa!!!!#!

Hivi kama dini zao zinatufanya tuwe hivi,kwa nini hatujiulizi UOVU wote waliouleta chini ya mwamvuli wa dini zao!!?

Mie nawaomba sana,linapokuja suala la UAFRICA wetu tuvue dini zetu pembeni na tupiganie utu wetu kama waafrika!!

May God bless AFRICA!

Jee, huelewi kuwa hao hao babu zako ndio walikuwa wakiuzana wenyewe kwa wenyewe kwa kubadilishana na shanga na vioo? soma historia.

Naona ni ujuha kuanza kulaumu mtu aliyekuja kununua biashara ambayo ameuziwa na babu yako ukaanza kumlaumu.

Kwanini tunataka kuficha historia ya ukweli?

Siamini kuwa Mwaarabu au Mzungu mmoja aje peke yake akamate watu na wao wanamuangalia tu. Historia ya ukweli haipo hivyo, tunaelewa kuwa Waafrika walikuwa mashujaa, tunaelewa kuhusu akina Kimweri, Milambo, Mkwawa, Songea na wengineo waliopigana vita kukataa kudhadhalishwa na wazungu.

Ukweli ni kuwa Waafrika wenyewe walikuwa wakifanya biashara hii na wanunuzi walikuwa wakija kutoka ndani na nje ya Afrika. Tena kwa thamani ya shanga na vioo tu, usishangae, shanga na vioo enzi hizo vilikuwa ni vitu vya thamani kubwa kwa kuwa walikuwa hawavijui na ni vya ajabu sana kwao. Kam vile sasa noti, Waafrika leo hii tunauzana wenyewe kwa noti, kwani thamni yetu ndio imefikia hapo.

Naona bora mababu walikuwa na akili kwa kuuza wenzao kwa vioo na shanga kuliko sasa tunauzana kwa noti aka makaratasi.
 
niliona ile movie 12 years a slave ......

yaani mtu anapigwa halafu analazimishwa kusema jina lake la kiutumwa.
(Brain washed ) baada ya muda mtu anajiita mtumwa na anaamini alizaliwa kuwa mtumwa.

Ni kitu ambacho bado nakitafakari .
 
Jee, huelewi kuwa hao hao babu zako ndio walikuwa wakiuzana wenyewe kwa wenyewe kwa kubadilishan na shaanga na vioo? soma historia.

Naona ni ujuha kuanza kulaumu mtu aliyekuja kununua biashara amabayo ameuziwa na babu yako ukaanza kumlaumu.

Kwanini tunataka kuficha historia ya ukweli?

Siamini kuwa Mwaarabu au Mzungu mmoja aje peke yake aakamate watu na wao wanamuangalia tu. Historia ya ukweli haipo hivyo, tunaelewa kuwa Waafrika walikuwa mashujaa, tunaelewa kuhusu akina Kimweri, Milambo, Mkwawa, Songea na wengineo waliopigana vita kukataa kudhadhalishwa na wazungu.

Ukweli ni kuwa Waafrika wenyewe walikuwa wakifanya boashara hii na wanunuzi walikuwa wakija kutoka nje. Tena kwa thamani ya shanga na vioo tu, usishangae, shanga na vioo enzi hizo vilikuwa ni vitu vya thamani kubwa kwa kuwa walikuwa hawavijui na ni vya ajabu sana kwao. Kam vile sasa noti, Waafrika leo hii tunauzana wenyewe kwa noti, kwani thamni yetu ndio imefikia hapo.

Naona bora mababu walikuwa na akili kwa kuuza wenzao kwa vioo na shanga kuliko sasa tunauzana kwa noti aka makaratasi.

Mkuu,
Biashara bila soko haifanyiki!
Hao babu zetu waliwauza hao wenzao kutokana na nguvu wakoloni waliyokuwa nayo!
Na si kwamba ni babu zetu wote walihusika na biashara hiyo ,ni baadhi tu ambao walikuwa vibaraka wa hao wageni!!
Kwa hiyo suala la utumwa lilikuwa ni baya kwani lilikuwa linafanyika kwa kutumia nguvu na bila ya ridhaa ya yule anayefanywa mtumwa!

Na kushiriki kwa waafrika wenzetu kwenye biashara hiyo mbaya hakuifanyi biashara hiyo kuwa ilikuwa nzuri!

AFRICA kwanza!
 
Hao waliuawa na walihasiwa pia wanawake hawakupelekwa huko uarabuni.

Hapana sio kweli hata wanawake walipelekwa pia na ushahidi upo mwingi tu na huko Kuwait kulikuwa na mfalme mwafrika ambae mama yake alikuwa ni mtumwa na baba yake mwarabu 1413194939341.jpg
 
Sina agenda yoyote..., ila kiukweli ni kwamba waafrika bado ni watumwa..., waulize CCM watakuambia ni kweli au sio...

​jikomboe kifikra kwanza maana inaonekana bado! sikiliza wimbo mmoja wa bob Marley uitwao Redemption Song, kuna ka kipengee kanasema ....emancipate yourself from mental slavery....
 
Sidhani kama ni busara kuanzisha uzi mpya lakini kuna kitu kinafanana na hiki nimekikuta sehemu.
Naomba kama kuna mtu mwenye taarifa haya maonyesho yako wapi atujulishe ili baadhi watakaoweza waende kuweza 'kufungua' vichwa vyao.
[h=1]“Why Africans Are Not United”[/h] [h=2]October 9, 2014 — Nigerian photographer and filmmaker Taye Balogun came to Kenya to create a collection of images that would artistically expose some of the most critical challenges facing the region right now. The result is the provocative “Why Africans Are Not United”[/h] "Religion Propaganda". Nigerian photographer and filmmaker Taye Balogun believes one of the instruments that have been used to keep Africans divided is religion. Photo by Mutua Matheka; concept by Taye Balogun




If you think you’ll get a definitive answer when you go to see the provocative photographic exhibition conceived by Taye Balogun and photographed by Mutua Matheka titled Why Africans Are Not United, then think again.
The title of the exhibition, which is currently on a Pan African tour, certainly suggests that viewers of the show will be let in on the secret of why there seems to be so much disunity among Africans, at the local, regional and continental levels.
The images reflect Balogun’s commitment to using photography to talk about what ‘African Union’ is not
However, the exhibition raises many more questions than answers to this salient topic, which is actually what the designers of this unusual and even surreal collection of images meant to do.
Calling their photographs ‘conceptual’ rather than surreal (which they also are!), Taye Balogun believes people need to understand the problems confronting the continent first before they can seriously start to problem-solve. It was he who came to Kenya with the concept in mind—to create a collection of images that artistically expose some of the most critical challenges facing the region right now.
Married to an East African whom he met back home in Nigeria, Balogun ostensibly arrived in Kenya to see his Tanzanian wife who works for Oxfam in Nairobi. But the Pan African photographer and filmmaker couldn’t help looking for fellow artists who might be keen to collaborate with him, using their art to probe pertinent issues and problems plaguing Africa at present.
“Education is a Showbiz”. Photo by Mutua Matheka; concept by Taye Balogun

He found such an artist in fellow photographer Mutua Matheka, one of Kenya’s most renowned image makers. Best known perhaps for his cityscapes, Matheka says he was definitely intrigued with Balogun’s critical vision. He was also challenged artistically as they strove to devise images that conveyed concepts that not only raised questions, but at their core also raised issues that are political, economic, religious, psychological and even philosophical.
Unlike photographs that are most iconic when it comes to framing Africa visually, Matheka’s and Balogun’s images are neither beautiful—filled with wildlife or panoramic landscapes—nor empathetic—filled with refugees in flight from conflict, famine or dreaded disease.
The skulls obviously have no capacity to think so who but the white man is left to decide what will ensue at the forum
Instead, they reflect Balogun’s commitment to ‘storytelling’ or using photography (and film) to talk about what ‘African Union’ is not. There is a hint in the exhibition that the continent is one giant ‘failed state’ especially as many of the early African freedom fighters were Pan Africanists who believed the region could progress most effectively if it was unified. Instead, Balogun talks about Africa being a ‘disjointed continent.’
The photographs are carefully composed and when necessary also photoshopped to convey the specific theme and meaning that the two artists aim to address. Evocative in the symbolic nature of every framed photo, the titles often serve as the easiest way to begin unpacking the messages in each frame.
For instance, titles like Mental Slavery, Education is a Showbiz, Invisible Borders and Jungle Justice all work as metaphors to compel one to look deeply at each photo. Interestingly enough, each one often has a very personal connection to the artists.
In the case of Invisible Borders, Balogun recalls the difficulty he had as a Nigerian trying to get into Kenya from an adjacent state. Soldiers at the border informed him that folks from his homeland were banned from entry. The reasons were unclear, even ‘invisible’, but they inspired the photograph that features two armed men standing to block passage across an unseen political boundary.
“Trade”. This photo explains the hurdles Africans put on themselves when trading with each other. Ironically foreign products can be found everywhere in Africa. Photo: Thomas Rajula

Seeing this showcase of images as satirical is another useful way of understanding the mix of irony, humour and pathos that’s infused in the images. For instance, a photo like African Leadership Forum is set in an almost empty classroom with only one white man seated amidst desks topped with dead cow skulls. The skulls obviously have no capacity to think so who but the white man is left to decide what will ensue at the forum. The answer is obvious.
The redemptive feature of the show is the series of quotations by authentic African and Pan African leaders like Nyerere, Lumumba, Biko, Mandela, Sankara and Martin Luther King that are included as way-showers whose wisdom still has validity for Africa’s future. Mug shots of all these men, including even more controversial figures such as Gaddafi and Haile Selassie are also there with the aim of sharking further discussions about how their vision can be revived and revisited for the sake of rebuilding an authentic African union.
Why Africans Are Not United had its first showing in Nairobi, Kenya, and is now in Dar es Salaam, Tanzania. After that, it will be seen everywhere from Addis Ababa to Johannesburg and Lagos.
 
Cha kusikitisha ni kuwa haya mambo yanatokea sasa kwa kiwango cha kusikitisha zaidi.
wale walio wasomi wanawaumiza zaidi wasiosoma lakini cha kujiuliza ni kwa nini hakuna ukataaji wa makusudi ili haya yasitokee!?
Hivi siasa za Al-Shaabab, Boko Haram, LRA ni matokeo ya haya!?
 
Wakuu,

Mwelekeo tu wa thread hii,unaonyesha wazi kuwa WAAFRIKA TUNA MATATIZO ndani ya vichwa vyetu!
Hapa mleta hoja alikuwa anatuamsha na tuone jinsi hawa wakoloni walivyotufanya wanyama na kutushawishi tujitambue!!

Cha ajabu eti badala ya KUUNGANA na kupeana moyo na kuzikataa hila zote za kikoloni dhidi yetu kuwa sisi si watu,eti tunagombanana sisi kwa sisi tukitetea MABWANA ZETU waliowafanya babu zetu watumwa!!!!#!

Hivi kama dini zao zinatufanya tuwe hivi,kwa nini hatujiulizi UOVU wote waliouleta chini ya mwamvuli wa dini zao!!?

Mie nawaomba sana,linapokuja suala la UAFRICA wetu tuvue dini zetu pembeni na tupiganie utu wetu kama waafrika!!

May God bless AFRICA!

Hakika Mkuu wangu. Umenena.

Tafakari bora na yenye kuleta tija kwetu haipaswi KUFUNGWA na misimamo ya aidha mazoea yetu, imani zetu, vyama vyetu, serikali, mila, elimu, ndugu, mama, mzazi, mtoto, urafiki, n.k. Kuwa huru kwanza, USIFUNGWE na chochote, JIKATAE/JIKANE, kuwa mweupe kabisa, ulichobaki nacho kiwe Uwezo wa kutafakari tu!

HAKUNA LILILOGUMU KWA MTU MWEUSI KAMA KUKANA UKRISTO AU UISLAMU WAKE, JAPO NI KATIKA TAFAKARI TU! Na hayo ndio mafanikio makubwa ya mzungu kwa Mtu mweusi. Hapo hatukuchanganya ushabiki wa mpira, muziki, vyama, mavazi, n.k. ni TOTAL BRAINWASHING!

Lakini Bob alitutaka tujumuike nae katika kuimba the song of revolution "Redemption Song" pia akatutaka bila kuchoka wala kusita kila raia kila kona into battle "War" nonestop, till we "Chase dem Crazy Boldheads"

So 'Won't u help to sing, Anothe song of freedom'

Mungu wetu yu tayari kutupigania vitani. Anaita sasa!
 
Yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo na yajayo.

Kama hujui ulikotoka, huwezi kujua ulipo na uendako. Kwa kutokupenda kujishughulisha na historia ya tulikotoka kantu hatuwezi kujua tuendako.

Kwa hayo mawazo yako ndio maana mpaka leo bara la Afrika bado tu watumwa na tutaendelea kuwa watumwa.
 
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!

slaves510x492.gif

Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!

2006_2637.JPG

Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..

reward2.jpg

Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.

SlaveShackle_450x397.jpg

Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa anamtoboa enka.., u neva know..!
166367_o.jpg

Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho CCM wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
Swali lako zuri sana! Hata mimi nikiwa mdogo nilishawahi kumuuliza babu yangu kua ni kwanini huku kanisani picha ninazoziona ukutani na mazabahuni kama vile zile picha za Mitume/Malaika/Yesu na Bikira Maria ni wazungu tu na picha ya Shetani ni kiumbe cheusi???
 
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu

walikua wakiwaas kama mabeberu...wazungu hawakua na uo ukatil thats y leo tun ma negros....
 
Dah! Hizi picha zinasikitisha na uko sahihi, yaani utadhani ni kitu cha kufikirika tu. Ili uwe mtumwa wa mtu lazima akutawale kifikra, ili akutawale kifikra lazima eidha awe na 'akili' zaidi yako au uwe kimeo zaidi yake. Sasa kwa hawa watumwa ni kwamba walikuwa vimeo na hao mabosi wao walikuwa na 'akili' zaidi yao. Mabubu yetu ya Afrika weusi ilikuwaga mijinga sana.
 
Mkuu,
Biashara bila soko haifanyiki!
Hao babu zetu waliwauza hao wenzao kutokana na nguvu wakoloni waliyokuwa nayo!
Na si kwamba ni babu zetu wote walihusika na biashara hiyo ,ni baadhi tu ambao walikuwa vibaraka wa hao wageni!!
Kwa hiyo suala la utumwa lilikuwa ni baya kwani lilikuwa linafanyika kwa kutumia nguvu na bila ya ridhaa ya yule anayefanywa mtumwa!

Na kushiriki kwa waafrika wenzetu kwenye biashara hiyo mbaya hakuifanyi biashara hiyo kuwa ilikuwa nzuri!

AFRICA kwanza!

Usiwasingizie wakoloni, biashara ya utumwa Afrika haikuanzia kwa wakoloni. Hivi umeshasoma kuhusu Ma chief waliokuwa na watumwa hapa hapa Afrika au bahati mbaya kwenye kiwango hicho hukufika?

Jee, hujasoma kuhusu ma Pyramid ambayo yapo Afrika yalijengwa na akina nani?

Jee, hujasoma kwenye vitbu vya dini kuwa hata Mtume Yusuf (Josef son of Jacob in the Bible) kuwa alikuchukuliwa utumwa Misr, ambayo ni Afrika?

Utakuta utumwa haukuanzia kwa mkoloni ulikuwepo hata hapa kwetu karne na karne kabla ya kutawaliwa na wageni.

Nnachokisema ni hiki, tatizo si biashara ya utumwa aliifanya nani au kwanini, ukianza kutafuta hayo utajikuta hata babu yako aliuza watumwa kwani kama hakuuza watumwa basi na wewe kwanini saa hizi usiwepo utumwani? Tatizo ni pale Waafrika tunapobaki na kukubali kuwa historia yetu imeanzia na kuishia utumwani, kutawaliwa na uhuru. La hasha, tuna historia kubwa na ndefu zaidi ya hiyo, tufunguke kuutafuta ukweli.

Walioiandika hii historia tunayojifunza hadi hii leo walikuwa na malengo yao, na malengo yao ni kuwafanya watu weusi kuwa ni duni daima milele. Mfano mzuri ni pale wanapomchora "Mungu" humfanya mweupe na ni mzungu na pale wanapomchora shetani humfanya mweusi. Hata malaika basi hakuna mweusi!

Fikiri.
 
Mtumwa apelekwe nchi za arabuni akafanyekazi gain,enzi hizo?Wakati ni jangwa hakuna kilimo wala mifugo,watumwa walipelekwa America na ulaya kwenye mashamba.Ilipoingia teknolojia ya mashine,mtumwa hakuhitajika tena.Ndio wazungu wakajitia kupiga marufuku utumwa.Wapo watu weusi wengi nchi za kiarabu,lakini hawakwenda kama watumwa,walikwenda kutafuta maisha.Na wengi wamefanikiwa kimaisha.Kwa mfano Oman upon mji unaitwa Salalah,wapo wengi na ni mji wao,na wanamaendeleo makubwa sana.Na inasemekana kiongozi wa nchi ya Oman mama ake ni mtu mweusi.Na ni nchi pekee duniani,yenye wa Tanzania wengi,wenye kazi za kiserekali,na wengine ni mawaziri.Na vilevile ni nchi pekee duniani,kiswahili kuwa lugha ya pili kuzungumzwa na wananchi wake.Katika kila watu watano,watatu wanajuwa kiswahili.Na wa Tanzania walioko Oman hawajaacha utamaduni wao wa asili,makabila mengi ya Tanzania yako Oman.
naomba unitajie tafadhali.
 
Back
Top Bottom