Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
alafu bado kuna watu wanaamini kuwa wazungu na waarabu wanatupenda. ukitaka kuprove hili katangaze uchumba kutaka kuoa mwarabu uone reactions zao
kachunguze ujue dada zako wanavyofanyiwa mpaka leo hii na waharabu....
Na wale wanokwenda kuuzwa China na India kwa ukahaba nako huko ni Waarabu wanayofanya hayo?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ia-na-biashara-ya-ukahaba-nchini-china-3.html
Jee, unajuwa kuwa Tanzania ni ya 29 kati ya nchi 160 zenye utumwa duniani leo hii?
Jisomee: Walk Free Foundation – Global Slavery Index 2013 | Findings - Walk Free Foundation - Global Slavery Index 2013
Na wale wanokwenda kuuzwa China na India kwa ukahaba nako huko ni Waarabu wanayofanya hayo?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ia-na-biashara-ya-ukahaba-nchini-china-3.html
Jee, unajuwa kuwa Tanzania ni ya 29 kati ya nchi 160 zenye utumwa duniani leo hii?
Jisomee: Walk Free Foundation Global Slavery Index 2013 | Findings - Walk Free Foundation - Global Slavery Index 2013
Na support kauli ya mseven, Ndugu zetu walitawaliwa kwa sababu walikuwa wajinga,na hata sasa tunaendelea kutawaliwa hasa kiuchumi kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe.tunajua kwamba ukiweza kutawaliwa kiuchumi hata nyanja zingine huwezi kuchomoka hata kwa dawa.tatizo wafrika hututumii comparative advantage tuliyo nayo katika resource zetu na vitu ambavyo tunaweza kutengeneza.pili hatuna ushikamano kama walivyo nao wao majaa kila kiongozi wa kiafrika yupo kwa uroho wa mali na uoga wa kuthubutu.kuondoka kwenye huu mtego wa utumwa wa hao manyang'au labda siku bala zima liungane au nchi zote zenye wafrika ziungane,lasivyo hadi mwisho wa dunia itakuwa hivi hivi.
alafu bado kuna watu wanaamini kuwa wazungu na waarabu wanatupenda. ukitaka kuprove hili katangaze uchumba kutaka kuoa mwarabu uone reactions zao
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Ni kweli si mungu wao. Lakini tungebaki na mungu zetu kama wahindi na wachina tungekua wapi leo hii? Tusingekua watumwa.Naamini Mungu aliumba waafrika kuwa watumwa, kama sasa ilivyo. Tuna kila kitu ila hatuwezi kuchukua hatua...
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa anamtoboa enka.., u neva know..!
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho CCM wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
Waomba utajiwe nini?naomba unitajie tafadhali.
Arabuni watu weusi ni wengi kuliko unavyofikiria.At least waafrika wazamani walikuwa mbumbumbu wanaweza kujitetea kwa hilo,leo hii misomi mizima inashindana kuita wenzao tumbili kisa kagusa maslahi na kusema ukweli kuwa tumeibiwa na mhindi na wamatumbi wenzetu!!NAHISI WAAFRIKA TUMELAANIWA!!!!pamoja na mungu kutupendelea kwa kila kitu,kutuepusha na disaster za kila aina tumebaki tunaombaomba kama MATONYA!!! Bado tunawatukuza wale waliowalabua bakora babu zetu,waliowahasi babu zetu ile wasiwatafunie wake na watoto wao.IN SHORT mwarabu ni mshenzi sana ukitaka uhakika tafuta mwarabu mwafrika kwao humpati!!sababu ni kuwa wanaume wote waliwahasi kama maksai na kuwageuza nanihino!!!
naomba unitajie tafadhali.
A very deep thread, I hope itakua sticky
Tuna issues kwenye ubongo mkuu
I have always been asking myself, how come mwarabu mmoja au wawili wanaswaga watu mia?? lakini angekua mbantu ndio anaswaga wenzake, wangemgeuka na kumla nyama
We ahve demostrated a lot of inferiority kiasi kwamba ni vigumu kuamini kama we are not inferior
Waomba utajiwe nini?
Nikisema hivyo haina maana nchi nyingine hawafanyi hata we unawatumwa nyumbani mwako tofauti ni namna ya kutreat hao watumwa
Nope. Kwangu sina watumwa, nna wafanyakazi.
Ukifuatilia utaona kuwa maelfu ya waarish toka ireland walichukuliwa utumwani na wa england na kupelekwa marekani kutumikishwa.kumbuka kipindi hicho bara la america ndo limegunduliwa na wakazi wa huko wakiwa ni red indian.Nikisema hivyo haina maana nchi nyingine hawafanyi hata we unawatumwa nyumbani mwako tofauti ni namna ya kutreat hao watumwa