Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Na wale wanokwenda kuuzwa China na India kwa ukahaba nako huko ni Waarabu wanayofanya hayo?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ia-na-biashara-ya-ukahaba-nchini-china-3.html

Jee, unajuwa kuwa Tanzania ni ya 29 kati ya nchi 160 zenye utumwa duniani leo hii?

Jisomee: Walk Free Foundation – Global Slavery Index 2013 | Findings - Walk Free Foundation - Global Slavery Index 2013

Nikisema hivyo haina maana nchi nyingine hawafanyi hata we unawatumwa nyumbani mwako tofauti ni namna ya kutreat hao watumwa
 
Na support kauli ya mseven, Ndugu zetu walitawaliwa kwa sababu walikuwa wajinga,na hata sasa tunaendelea kutawaliwa hasa kiuchumi kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe.tunajua kwamba ukiweza kutawaliwa kiuchumi hata nyanja zingine huwezi kuchomoka hata kwa dawa.tatizo wafrika hututumii comparative advantage tuliyo nayo katika resource zetu na vitu ambavyo tunaweza kutengeneza.pili hatuna ushikamano kama walivyo nao wao majaa kila kiongozi wa kiafrika yupo kwa uroho wa mali na uoga wa kuthubutu.kuondoka kwenye huu mtego wa utumwa wa hao manyang'au labda siku bala zima liungane au nchi zote zenye wafrika ziungane,lasivyo hadi mwisho wa dunia itakuwa hivi hivi.

Mkuu Econometrician,

Ni kweli kabisa utumwa unatokana na ujinga unaozalisha woga. Hata leo waafrika wengi bado ni watumwa fikra na wameridhika kabisa kuwa watumwa.
Vugu vugu la ukombozi wa waafrika limepita na viongozi wengi waliopo sasa hivi wana fikra potofu zinazoturudisha utumwani na wamekuwa vibaraka wa mabeberu kuendeleza utumwa wa fikra zinazoendeleza vitendo vya kumdidimiza mwafrika.
Wananchi walio wengi wanatakiwa kujua kuwa woga ni umasikini na hivyo wanatakiwa kupambana kwa mbinu mbalimbali zikiwepo hujuma dhidi ya wanyonyaji na vibaraka wao.
Tunatakiwa kuanza mapambano upya na kuwaandaa watoto wetu wawe na utayari wa vita dhidi ya vibaraka na mabeberu wenyewe. Hatari kubwa ambayo itahitaji tahadhari katika mapambano hayo ipo katika kuwakabili vibaraka wa mabeberu ambao wengi walishajipenyeza kwenye madaraka katika nchi zao.
Muungano unaotakiwa ni wa waafrika masikini wanaonyonywa dhidi ya mabeberu na vibaraka (wengi wakiwa ni waafrika wenzao).
Makundi ya siri ya kizalendo ya kuilinda jamii ni muhimu ambayo yanatakiwa yawe na uwezo mkubwa wa kuwaangamiza mabeberu, vibaraka na hata viongozi wa nchi ambao wanashiriki katika vitendo vya kuwadidimiza waafrika walio wengi.
 
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu

Du kweli! Muarabu ndo alikuwa wakala wa kuchukua watumwa, na kwauza kwa mzungu, lakini uarabuni hakuna mtu mweusi, wala mabaki yake,
 
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!

slaves510x492.gif

Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!

2006_2637.JPG

Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..

reward2.jpg

Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.

SlaveShackle_450x397.jpg

Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa anamtoboa enka.., u neva know..!
166367_o.jpg

Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho CCM wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!

Mkuu umenifanya nianze kufikilia kwa kina sana juu ya hawa wachina na wenzao wa asili yao .....Mbona hatuna historia zao za kuwaonea wenzao kama walivyofanya waarabu, wahindi, wazungu, etc.
 
At least waafrika wazamani walikuwa mbumbumbu wanaweza kujitetea kwa hilo,leo hii misomi mizima inashindana kuita wenzao tumbili kisa kagusa maslahi na kusema ukweli kuwa tumeibiwa na mhindi na wamatumbi wenzetu!!NAHISI WAAFRIKA TUMELAANIWA!!!!pamoja na mungu kutupendelea kwa kila kitu,kutuepusha na disaster za kila aina tumebaki tunaombaomba kama MATONYA!!! Bado tunawatukuza wale waliowalabua bakora babu zetu,waliowahasi babu zetu ile wasiwatafunie wake na watoto wao.IN SHORT mwarabu ni mshenzi sana ukitaka uhakika tafuta mwarabu mwafrika kwao humpati!!sababu ni kuwa wanaume wote waliwahasi kama maksai na kuwageuza nanihino!!!
 
At least waafrika wazamani walikuwa mbumbumbu wanaweza kujitetea kwa hilo,leo hii misomi mizima inashindana kuita wenzao tumbili kisa kagusa maslahi na kusema ukweli kuwa tumeibiwa na mhindi na wamatumbi wenzetu!!NAHISI WAAFRIKA TUMELAANIWA!!!!pamoja na mungu kutupendelea kwa kila kitu,kutuepusha na disaster za kila aina tumebaki tunaombaomba kama MATONYA!!! Bado tunawatukuza wale waliowalabua bakora babu zetu,waliowahasi babu zetu ile wasiwatafunie wake na watoto wao.IN SHORT mwarabu ni mshenzi sana ukitaka uhakika tafuta mwarabu mwafrika kwao humpati!!sababu ni kuwa wanaume wote waliwahasi kama maksai na kuwageuza nanihino!!!
Arabuni watu weusi ni wengi kuliko unavyofikiria.
 
A very deep thread, I hope itakua sticky

Tuna issues kwenye ubongo mkuu

I have always been asking myself, how come mwarabu mmoja au wawili wanaswaga watu mia?? lakini angekua mbantu ndio anaswaga wenzake, wangemgeuka na kumla nyama

We ahve demostrated a lot of inferiority kiasi kwamba ni vigumu kuamini kama we are not inferior

This is a very hard to swallow fact, hata mimi napata tabu kuamini kama kweli hii race ni superior,

Ukiangalia yanayotokea kwenye Bmk ,again kikundi cha watu 1000 wanawapotosha karibia population ya watu milion 50, na yet tumekaa kimya kabisa huku tukifahamu fika tunadanganywa.. ndio hayo hayo ya waarabu au wazungu wawili kuliongoza kundi la watumwa 1000 kutoka tabora mpaka bagamoyo,
Zimbabwe maamuzi ya mugabe yanawafanya wazimbabwe wawe watumwa katika nchi yao wenyewe, Mugabe huyo huyo anaamua ku abandon Zim dollar na kutumia us dollar kama main currency. Na hamna mtu anapinga.

Najipa moyo kuwa huenda tutabadilika huko mbele ya safari , ingawa wakati mwingine nafsi huwa inanishawishi kuwa huenda wa afrika tuliumbwa inferior
 
Nilitegemea hii mada itaibua mjadala mmoja wenye uelekeo fikirishi sadly.watu wameishia kutetea mabwana zao tu(wazungu/ waarabu)

Hakuna mwarabu wala mzungu mwenye yupo tayari kumtetea mtu mweusi kama mnavyojipendekeza nyie humu hao jamaa zenu wote wanafiki tu.
 
Nikisema hivyo haina maana nchi nyingine hawafanyi hata we unawatumwa nyumbani mwako tofauti ni namna ya kutreat hao watumwa
Ukifuatilia utaona kuwa maelfu ya waarish toka ireland walichukuliwa utumwani na wa england na kupelekwa marekani kutumikishwa.kumbuka kipindi hicho bara la america ndo limegunduliwa na wakazi wa huko wakiwa ni red indian.
waingereza wakalifanya america koloni lao na waarish walipelekwa huko kama watumwa.
 
Back
Top Bottom