Paschal Mayala anakosea kusema kuwa Tume ya Uchaguzi ni Huru lakini sheria ya uchaguzi ndio mbaya. Anashindwa kuelewa maana ya uhuru unaoongelewa. Katiba ya nchi na sheria mbaya ni baadhi ya vikwazo vinavyopunguza uhuru wa Tume.
Nimekupata mkuu.Lengo langu si kuzungumzia mazishi , bali nilitoa angalizo la namna wanaotumikishwa na ccm wanavyodhalilika mbele ya umma , kiasi hata wakifa hakuna anayestuka .
Sky Éclat . Hawa kina Membe ndiyo wale wale, wakiwa ndani ya system wanashindwa kuidhauri vizuri kiti. Kwa uhusiano aliokuwa nao na JK , alishindwa nini kumshauri waiache nchi ikiwa katika mfumo unaoeleweka na ulio fair kwa kila mwananchi ?!.
Mimi najitoa siwezi kufanya kazi na upinzani wa Tanzania uliopo sasa sababu kuna unafiki na uyuda mkubwa sana walitufanyia washabiki na wanachama wake wanaojitambua mwaka 2015.Kwanini wao na si pamoja na wewe kama mwananchi mzalendo kwa taifa lake. Jukumu hili muhimu kwa wanao na wajukuu zako, kwanini iwe wao ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mtazamo mmoja, unaweza kuwa sahihi, lakini haumzuii muumini kuwa Mcha Mungu. Nikirudia ile cliché, hakuna binadamu aliyekamilika.
Mimi najitoa siwezi kufanya kazi na upinzani wa Tanzania uliopo sasa sababu kuna unafiki na uyuda mkubwa sana walitufanyia washabiki na wanachama wake wanaojitambua mwaka 2015.
Naona upinzani huu ni nakala ya CCM.
Kuna watu tunafuata au tunaishi kwa kanuni na misingi flani, ikikiukwa na kupuuzwa tunajitenga na watu walio sababisha hivyo.
Ukweli sipendi chama napenda sera na misimamo, napenda mtu mwenye misimamo, sera na itikadi flani.
Upo sahihi kabisa, na naomba uniwie radhi lakini makosa haya yametokana na swali au ombi la mdau dhidi yangu.Hoja iliyo mezani inahusu electoral managemnt bodies. Jielekeze huko
Nikijielekeza kwenye mada husika, nadhani sina hoja zaidi ya kusisitiza tume huru na sheria ya uchaguzi safi.Hoja iliyo mezani inahusu electoral managemnt bodies. Jielekeze huko
Kwa uzoefu wangu hapa unazima moto tu, labda haya unayopigia leo kelele yatatekelezwa na kusaidia uchaguzi mwingine sio huu wa 2020.
Ukianzishwa mchakato sasa unaweza kuwa na mapungufu mengi sana, na muda utakuwa kisingizio, mwishowe yatajirudia ya katiba mpya.
Siyo mtu moja sasa !! Ni aslimia kubwa ya WaTz wanadai haki ya kuwa na chombo huru na si hii inayotishwa na kupewa maelekezo kutoka upande moja wa wagombea."kutenda haki" ni very subjective term, and is open to a wide variety of interpretations. Haki kwa mtu mmoja inweza kuwa kosa au jinai kwa mwingine. Kwahiyo syllogism yako ni batili sababu premise namba moja haisimami kipekee kama ukweli usiopingika.
Kujitoa napo ni unafki kama ulivyodai . Huwezi kutaka mambo mazuri kwa kukaa pembeni. Na makosa ya wadau wa miaka hiyo unayoisema, yalitakiwa kuwa funzo na hivyo kuja na kitu bora zaidi. Na kama hutasahau , miaka unayoitaja unashuhudia kuwa WaTz wapo tayari labda wa kuwaunganisha ndiyo hawapo.Mimi najitoa siwezi kufanya kazi na upinzani wa Tanzania uliopo sasa sababu kuna unafiki na uyuda mkubwa sana walitufanyia washabiki na wanachama wake wanaojitambua mwaka 2015.
Naona upinzani huu ni nakala ya CCM.
Kuna watu tunafuata au tunaishi kwa kanuni na misingi flani, ikikiukwa na kupuuzwa tunajitenga na watu walio sababisha hivyo.
Ukweli sipendi chama napenda sera na misimamo, napenda mtu mwenye misimamo, sera na itikadi flani.