zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwani ni wapi? A simple Google search ingekusaidia we kil.aza.Unarukaruka tu kama vi pop-corn na story zako za kuungaunga, Ibrahim gani aliyetokea Syria?
Tangu lini Mesopotamia ilikuwa Syria?
You need to sit down and read about the Ottoman Empire and all it's evil. Those Turkiye are not as innocent as you think.Kama hawataki kuuawa basi wasiue wenzao.
Nishafanya hayo uyasemayo.You need to sit down and read about the Ottoman Empire and all it's evil. Those Turkiye are not as innocent as you think.
Wewe Popoma sana, Mesopotamia ipo between Iraq and Kuwait, google search bila akili ni afadhali usiitumie utazidi kupotea tu.Kwani ni wapi? A simple Google search ingekusaidia we kil.aza.
"Ancient Mesopotamia, the land of the Tigris and Euphrates Rivers, now lies mostly in modern Iraq and northeastern Syria, together with southeastern Turkey and western Iran"
Source: University of Cambridge
Ona sasa, wengi ndiyo mnapo bugi kwa historia zenu za kuchovya. Palestine na Wafilist hizo ni jamii tofauti kabisa na hao Wafilist ni jamii iliyopotea kabla hata ya kuja kwa WapalestinaSababu Palestine limetokana na jina Philistine ambao ni descendants wa hapo kuanzia caphtorites n.k so kwa vyovyote itakavyokua ardhi haiwezi kuwa ya Israel it's either palestine or ancient canaanites
When you have been persecuted for so long you get somewhere and you just say enough!. Rudi kasome Dersim massacre, Zilan massacre. Nenda kasome kama hata lugha yao imekatazwa. Erdogan sio Malika. Ni katili kuliko unavyofikiria.Nishafanya hayo uyasemayo.
Ottoman haikuwahi kuwa katili miaka yote,kuna miaka na miaka kulingana na Sultan aliyetawala.
Pia hiyo bado haijalishi kuhalalisha vurugu anazofanya mkurdi.
wapo kwenye makazi yao ya asili, kabila lao, lugha yao, viongozi wao, ila kujitangazia uhuru wa nchi yao ndio mnaita fujo. kwani wakipata nchi yao ya kurdistan wanayopigania tangu enzi mnaumia nini? hawavamii mtu, walikuwa pale, wapo pale, na wana viongozi wao wa kikabila.Hao wakurdi kila eneo wanaleta fujo.
Uturuki wanaleta fujo,Iran,Iraq na Syria pia.
Kote wanaleta fujo,hawa ni watu wa fujo siku zote.
Na mashambulizi yao kuelekea Uturuki wanafanya kutokea Syria.
Uturuki haijawashindwa wakileta fujo wanatandikwa vizuri tu.
Sema huwezi ukasema uwapige uwamalize ni uongo.
Mwanzo wa huu mwaka si Uturuki iliingia Syria na kufanya ground operations na ikawakamata mamia ya wapiganaji wa kikurdi??
Wengine wakakimbia wanapojua wao.
Makazi yao ya asili ni Iran.wapo kwenye makazi yao ya asili, kabila lao, lugha yao, viongozi wao, ila kujitangazia uhuru wa nchi yao ndio mnaita fujo. kwani wakipata nchi yao ya kurdistan wanayopigania tangu enzi mnaumia nini? hawavamii mtu, walikuwa pale, wapo pale, na wana viongozi wao wa kikabila.
wapo mipakani mwa kila nchi, hizo nchi zote zimewazunguka wao wapo katikati. ni kama masai wanapokuwepo kenya na tanzania. wakurdi wapo iraq, iran, syria na uturuki.Makazi yao ya asili ni Iran.
Syria hapawahusu wala Iraq hapawahusu.
Aya kwanini wafanye fujo Syria na Iraq pia!??
Halafu mbona makabila mengine wamekubali kuwa chini ya bendera moja!??
Kwanini fujo waanzishe wao tu peke yao!?
Kaka nenda kafuatilie historia.wapo mipakani mwa kila nchi, hizo nchi zote zimewazunguka wao wapo katikati. ni kama masai wanapokuwepo kenya na tanzania. wakurdi wapo iraq, iran, syria na uturuki.
Nimekuletea excerpt ya University of Cambridge unataka kusema unajua zaidi kuliko top University? Mimi sio level sio kabisa kabishane na illiterates wenzako. Abraham hajatokea Palestine bali Syria huko sasa huo umiliki wa Israel anautoa wapi?Wewe Popoma sana, Mesopotamia ipo between Iraq and Kuwait, google search bila akili ni afadhali usiitumie utazidi kupotea tu.
Wapi nimesema ni jamii moja? Unawezs nionyesha? Nimekueleza nature ya jina Palestine lilipotokea.... meaning ilishakua na identity kabla ya hao wayahudi hawajafika cha ajabu wamekuta nchi ina jina ila wao wanadai ndio asili yao? Inaingia akilini? Hivi mfalme wa yerusalem wa Mwanzo 14 aliyepewa sadaka na Abraham alikua myahudi pia? Empty brain kabisaOna sasa, wengi ndiyo mnapo bugi kwa historia zenu za kuchovya. Palestine na Wafilist hizo ni jamii tofauti kabisa na hao Wafilist ni jamii iliyopotea kabla hata ya kuja kwa Wapalestina
Wewe jamaa utakuwa na shida mahala katika ufahamu wako, nani aliyeleta story za Abraham kuwa ni Mpalestina hapa? Tangu umeanza nakuona umachofanya ni ku spin mambo tu lakini bado unazidi kujikaba mwnyew.Nimekuletea excerpt ya University of Cambridge unataka kusema unajua zaidi kuliko top University? Mimi sio level sio kabisa kabishane na illiterates wenzako. Abraham hajatokea Palestine bali Syria huko sasa huo umiliki wa Israel anautoa wapi?
Hapa ndiyo umezidi kujidhihirisha level yako ya upumbavu kuwa haitibiki na kwako hiyo ni both, kipaji pia ni hobby.Cha ajabu Abraham naye alikua na watoto 8 ila eti wote hao hawajawahi kudai Israel ila mjukuu mmoja tu yaani Yakobo ndio mmiliki? Vipi hao wajukuu ya watoto 8 wa Abraham je unajua wapo nchi gani? Na kwanini hawadai urithi wa Israel?
Ukipata majibu ndio utajiona mjinga kabisa
Nimeita palestine maana ndio jina halisi ya eneo hilo mind you hata Biblia inaita eneo ambalo wewe unaita ISRAEL kuwa ni PALESTINE au biblia imepotosha?jamaa utakuwa na shida mahala katika ufahamu wako, nani aliyeleta story za Abraham kuwa ni Mpalestina hapa?
Biblia inasema nchi ya ahadi alipewa Abraham sasa kivipi ukoo mzima wenye wajukuu zaidi ya 100 ajimilikishe mjukuu mmoja tu "nchi ya ahadi"? Hao wajukuu wengine mamia walienda wapi? Mbona hawajadai ardhi? Au baraka za Abraham zilikua na mipaka? Unajua reasoning yako ni ndogo sana ndio maana huwezi ona upungufu wa hoja zako.Kwamba ukiwa na mali hazigawanyiki? Zote zinakuwa za wote?
Wala hakuna anayetaka debate na empty set kama wewe ambaye hata elimu yako ni questionable, ila sipendi upotoshaji. Huwezi kuja humu na claims za uongo tukiziacha mtadanganya watu wengi mnoo. So kabla ya kuandika humu muwe mnajisomea kwanza.Nimefunga mjadala