Uume kupinda ni tatizo au kama ni tatizo msaada please

Mkuu kuna maswali matatu Yapaswa ujibu,

Swali la kwanza:
Umewahi kupata ajali inayohusisha uume/including kuvunjika uume!??

Swali la pili:
Tatizo la kupinda uume umezaliwa nalo!??

Swali la tatu:
Unapata maumivu yoyote au kushindwa kushiriki vizuri ngono na mwenza wako!??

Zifuatazo ni sababu tatu muhimu zinazosababisha uume kupinda:
01.Ugonjwa (peyronie's disease)
02.Congenital penile curvature (Tatizo la kuzaliwa nalo)
03.Ajali.
Matatizo yote haya yanatibika hivyo tafuta ushauri kwa wataalam wa afya juu ya njia bora ya kutibu tatizo lako.
 
Utaachaje kupinda wakati tangu utotoni unavaa chupi zinabana na unaulazia upande mmoja na kulala bado unalala na chupi, uwe unaugeuza geuza kama leo umeulazia kushoto, kesho unaulazia kulia

Kama umepindia kushoto ukianza kugegeda unakaa kushoto kidogo unapopiga pump papuchi unakuwa wenyewe unaifuata kushoto ndani na ndo unasugua vizuri aka inakuwa straight than ukikaa straight.

Kama una mtoto wa kiume mzoeshe awe anaulaza pande zote maana wengi wetu tumezoea kuulazia kushoto
 
Kama umezaliwa nayo ni Congenital Penile curvature, ila kama kuna repetitive injury itakuwa ni Peyronie's disease.
 
Mkuu pole sana kwa changamoto yako

ushauri wangu ni kwamba nenda kituo chochote kikubwa cha afya kilicho karibu nawe

Ukishafika nuombe daktari akufungu P.O.P wakati uume umesimama baada ya wiki ukitoa kila kitu safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…