Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampongeza Richard Kasesela kwa kuonyesha uungwana.Msameheni wazee
Sisi wenyewe tunakosea
Mangapi...humu yenyewe watu
Kuna wakati watu wanatukanana
Kichizi
Ova
Kwa kuomba radhi kuna dhihirisha kuwa sisi sote ni binadamu.Yule jamaa hafai kuwa DC pamoja na kwamba kaomba radhi.
😆😆😆 kumbe wale jamaa wa Tanesco wanafahamika !Ukweli ni kwamba jamaa alikuwa sahihi kutumia ile lugha kwa aina ya watu aliokuwa anaongea nao, hakuna haja ya kuomba msahama. Ni sawa na kuongea na wale jamaa wa Tanesco (wanao beba na kusimika nguzo na pia kufunga yale mawaya), kuna lugha flani na uongeaji fulani ndiyo mtakwenda sawa.
Mwananchi alimtukanaje au alisemaje?Huo ndio uungwana na mkumbuke yule mwananchi nae alikua anamtukana
Binafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehebila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe .
Ulimi hauna mfupa
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
View attachment 1764033
Unatoa lugha isiyo ya staha kwa dereva wa bajaji na humwombi radhi, badala yake unawaomba radhi Watanzania? Nani uliyemkosea wa kwanza na je, umemwomba radhi? Ukiwa kiongozi unakuwa na madaraka makubwa sana na unahitaji kuwa mnyenyekevu kutoyatumia vibaya. Na pia kiongozi wa umma anatakiwa 'all the time' awe na 'control of himself or herself' kwa sababu kuna watu wengi anaweza kuwaumiza kwa sababu ya kutumia ofisi vibaya. Anything a public leader may do must be accompanied by the authority of the law (within legal bounds), otherwise it will be done arbitrarily. Mungu anawaona viongozi mnaotumia madaraka vibaya kuwanyanyasa walio chini yenu/wananchi!Binafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehebila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe .
Ulimi hauna mfupa
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
View attachment 1764033
Uungwana, eti? Dereva wa bajaji angetukana hivyo angelala wapi leo?Huu ndio ungwana na utamaduni wa mtanzania. Tunarudi kwenye mstari baada ya kupotea "kizani" miaka mitano.
Binafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehebila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe .
Ulimi hauna mfupa
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
View attachment 1764033
" Sijaribiwi , Sipangiwi "Kiongozi kujirudi na kujirekebisha ni jambo jema sana na linamuonesha kuwa yeye ni Binadamu wa kawaida.
Hatari ni wale wenye VIBURI na WALEVI wa MADARAKA .
Pro Assad alisema nini kwan kuhusu viongozii wakabisha ona sasa
Hata Meko katika mkutano wa kampeni Mwanza alipozomewa aliamrisha wale watu wakamatwe.Kwanini asiitishe mkutano na vijana wale wa Bajaji na awaombe msamaha? Huku hawapo
DC gani hawezi kucontrol emotions zake under pressure kidogo vile? Hafai
Yeye ni magufuli, magufuli ni yeye.. Si kaishasema hiloHuyo alitakiwa awe ameshatumbuliwa mpaka sasa hivi sijui Rais anasubiri nini, haya mambo ndio yanafanya Rais aonekane haiwezi ile ofisi, too slow to react.
Siku hizi mwananchi anaweza kumtukana DC na asiwekwe ndani yale masaa yao pendwa 48? 🤔Huo ndio uungwana na mkumbuke yule mwananchi nae alikua anamtukana
Ile nayo kali duuu mwendazake bana ....too sarcasticHivi kati ya hiyo na ile ya " baki na m.v. yako nyumbani,ipi ni mshindi!!!!???
UchocheziHuyo alitakiwa awe ameshatumbuliwa mpaka sasa hivi sijui Rais anasubiri nini, haya mambo ndio yanafanya Rais aonekane haiwezi ile ofisi, too slow to react.