Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Ukweli ni kwamba jamaa alikuwa sahihi kutumia ile lugha kwa aina ya watu aliokuwa anaongea nao, hakuna haja ya kuomba msahama. Ni sawa na kuongea na wale jamaa wa Tanesco (wanao beba na kusimika nguzo na pia kufunga yale mawaya), kuna lugha flani na uongeaji fulani ndiyo mtakwenda sawa.
 
😆😆😆 kumbe wale jamaa wa Tanesco wanafahamika !
 
Binafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehebila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe .

Ulimi hauna mfupa

Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari

View attachment 1764033

Unatoa lugha isiyo ya staha kwa dereva wa bajaji na humwombi radhi, badala yake unawaomba radhi Watanzania? Nani uliyemkosea wa kwanza na je, umemwomba radhi? Ukiwa kiongozi unakuwa na madaraka makubwa sana na unahitaji kuwa mnyenyekevu kutoyatumia vibaya. Na pia kiongozi wa umma anatakiwa 'all the time' awe na 'control of himself or herself' kwa sababu kuna watu wengi anaweza kuwaumiza kwa sababu ya kutumia ofisi vibaya. Anything a public leader may do must be accompanied by the authority of the law (within legal bounds), otherwise it will be done arbitrarily. Mungu anawaona viongozi mnaotumia madaraka vibaya kuwanyanyasa walio chini yenu/wananchi!
 
Kiongozi kujirudi na kujirekebisha ni jambo jema sana na linamuonesha kuwa yeye ni Binadamu wa kawaida.

Hatari ni wale wenye VIBURI na WALEVI wa MADARAKA .
 
Kwanini asiitishe mkutano na vijana wale wa Bajaji na awaombe msamaha? Huku hawapo

DC gani hawezi kucontrol emotions zake under pressure kidogo vile? Hafai
Hata Meko katika mkutano wa kampeni Mwanza alipozomewa aliamrisha wale watu wakamatwe.
 
Huyo alitakiwa awe ameshatumbuliwa mpaka sasa hivi sijui Rais anasubiri nini, haya mambo ndio yanafanya Rais aonekane haiwezi ile ofisi, too slow to react.
Yeye ni magufuli, magufuli ni yeye.. Si kaishasema hilo
 
Kwani kuambiwa "tuliza matako" ni tusi? Mbona lugha ya kawaida Sana au ni wivu tu? Hongera Mh. , Watulize matako wakusikilize.
 
Back
Top Bottom