Uuzaji wa Akiba ya Dhahabu ni dalili mbaya ya kushindwa kwa dola

Kuuza dhahabu ku-finance miundombinu ni strategic move …sisi hatukua na hazina ya dhahabu tumeanza juzijuzi na malengo yako ndio hayo sasa
 
MKuu usifikirie wote walikuwa uhamishoni.
 
Chawa kakurupuka toka wapi sijui, hii mada ipo nje ya uwezo wako wa kufikiri.
 
Kuuza dhahabu ku-finance miundombinu ni strategic move …sisi hatukua na hazina ya dhahabu tumeanza juzijuzi na malengo yako ndio hayo sasa
Serikali ikisema ikakope watakuja tena kubisha,
 
Kuuza dhahabu ku-finance miundombinu ni strategic move …sisi hatukua na hazina ya dhahabu tumeanza juzijuzi na malengo yako ndio hayo sasa
Twende taratibu, ikiwa nyumbani mna fedha mlizokusanya kutoka kwenye vyanzo tofauti vya familia, na mkaamua kutumia sehemu ya fedha hiyo kununua mahindi ili yabaki kuwa akiba yenu

Then ghafla baba anasema anauza hayo mahindi ili mmalizie kupaua nyumba yenu kubwa ya kulala na wakati jana yake tu aliwaaminisha kuwa bado muna fedha za kutosha nyumbani lazima uhoji uhalali wa kuuza mahindi hayo wakati hakuna dharura yoyote iliyotokea, hawezi tu kuwaambia watoto kuwa "nauza kwa sababu mimi ndiye niliyependekeza tuyanunue, huyo atakuwa ni baba lofa kuliko ulofa wenyewe.
 
Hutokea pale matumizi ya serikali yapakua makubwa sana kuliko mapato na vyanzo vyake na hawataki kujishusha...

Posho, vikao, safari, mishahara ya wenza wa wastaafu, Bunge liliojaa wabunge wengi bila tija, Wizara kua na mawaziri wengi wengi bila sababu za msingi...


Cc: Mahondaw
 
Sijui maswala ya kiuchumi, lakini majibu yako hayanishawishi. Nachojua, ushawishi wa kuuza hiyo akiba ya dhahabu haukuja kwa nia nzuri. Lengo kuu ni upigaji. Hakuna mtu angethubutu kumwambia Magufuli ujinga huu. Lakini kwa kuwa washaona udhaifu kwa mama basi wanaichukulia kama fursa.
Mic ipo sasa kwa machawa. Amvao watapiga kelele kuunga mkono hilo wazo. Mwisho wa siku yanakuwa kama ya bandari.
 
asipoelewa na lugha nyepesi namna hii hawezi kuelewa milele.
 
M
MWagito, unoge
 
Madhara ya kuweka mtu mwenye elimu ya kuunga unga ndiyo haya sasa. Polepole alikuwa anapaza sauti sana huyu mama apumzike. Alichofanya kinatosha, wakaishia kumteka.

Huku ulimwengu ukipiga kasi kwenye matumizi ya A.I bongo mnaambiwa mfuatilie uzinduzi wa KKK(Kusoma, kuandika na kuhesabu) ukisindikizwa na ngoma

You really wonder what kind of limited brain is running the show
 
Wazo la KURUDISHA kununua dhahabu as reserve sio la SAMIA. Ni Magufuli ndiye aliyelizungumza. Na aligusia akiwa na hasira sana baada ya kugundua utapeli mkubwa na visingizio kadhaa visivyokuwa na mashiko yoyote.
 
shida yako ni umemeza siasa za upinzan sana, yaani kila kitu unawaza kama upigaji na ukiendelea na mawazo hayo amna kitu kitafanyika utaona cha maaana! Hizo reserve wangekua wanataka kupiga zisingefika ata hazina, na pia hio ilikua ni kwa ajili ya akiba means lazima ingetumika someday sasa ndo mda umefika, unataka miradi isimame ili uwe tu na status na kwamba una reserve za gold? infact hio Gold inachimbwa humu humu ndan sio kwamba tumenunua nchi ingine
 
TRA wanakusanya bilioni ngapi kwa mwezi?
Mwisho wa uongo ni aibu.
hata wangekua wanakusanya trillion 100 kwa mwezi, hizo ni TSH haziwezi kufanya manunuzi nje dhahabu ni currency inaokubalika nchi yoyote duniani
 
Ona kenge hili! Kwa hiyo kwa kuwa dhahabu inachimbwa hapa Tanzania serikali hainunui inachukuwa bure?

Shithole!
we ni mjinga, dhahabu inanunuliwa kwa tsh ikiwa ndan ya nchi lakini hio dhahabu ina nguvu nje ya nchi, we ni lijinga na huelewi kwann ziliekwa apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…