Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaio tanzania nzima ni halmashauri zile tu kwenye mfumo ndio zinamiliki viwanja?Tausi.
Umesema hapa kuwa Kuna viwanja vya halmashauri haviingii kwenye mfumo wa Tausi kwa ajili ya kuuzwa kwa wananchi naomba uweke ushahidi ili ijulikane kuwa mfumo wa Tausi unamapungufu na developer wafanyie kazi hayo Mapungufu.
Ina nigomea kufanya usajilUkiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi.
View attachment 2888389
unataka taarifa ipi si uingie mtandaoni uwe unaviona viwanja vinavyouzwa shida nini? na ununue @ your own willingness au unataka mpaka upewe na bando?Lakini Bado Kuna janja janja nyingi. Viwanja vizuri wanavi post bila taarifa ya kutosha, na Kwa muda wao muafaka; Kisha watu wao wanavishambulia fasta !!
Hakikahii inaitwa e-goverment,hongera kwa serikali ni mwanzo mzuri sana japo changamoto haziwezi kukosekana ili ni bora kuanza kuliko kuwa kimya
Mfumo ni mpya, ndio unaanza kufanya kazi.Daaah hii ni changamoto nchi yote hii. Halimashauri zilizo wekwa ni 4 TU.
Tin kufungua ni bure, afungue isiyo ya biashara. Ndio unaweza lipa kidogo kidogoNaona wanahitaji TIN, Je kwa Mtumishi wa umma unaweza kuweka Cheque Number..?
Ndio mm nalipa kwa miez 6Bila kusahau, kwako mleta Uzi, naomba uweke terms and conditions zao..
Je, naweza kununua viwanja/kiwanja then nikalipia kidogokidogo..?