Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Hebu onesha haya maandishi yako
Nilikoandika...maana hata mm nashangaa
 
Tausi.
Umesema hapa kuwa Kuna viwanja vya halmashauri haviingii kwenye mfumo wa Tausi kwa ajili ya kuuzwa kwa wananchi naomba uweke ushahidi ili ijulikane kuwa mfumo wa Tausi unamapungufu na developer wafanyie kazi hayo Mapungufu.
Kwaio tanzania nzima ni halmashauri zile tu kwenye mfumo ndio zinamiliki viwanja?
 
Lakini Bado Kuna janja janja nyingi. Viwanja vizuri wanavi post bila taarifa ya kutosha, na Kwa muda wao muafaka; Kisha watu wao wanavishambulia fasta !!
unataka taarifa ipi si uingie mtandaoni uwe unaviona viwanja vinavyouzwa shida nini? na ununue @ your own willingness au unataka mpaka upewe na bando?
 
Nimeupitia na kuna baadhi ya viwanja Nimeanza kulipia sema kuna mapungufu

1. Kuna mda mfumo unakua haupatikani

2. Kuna mda unaingia unakua wilaya ime ongezeka ukija baadae hutaiona tena. Mfano Bagamoyo, bahi, iringa hizi inakuja na kupoteza naanza kuhisi hua wanaziweka akiwa na wateja wao. Mfano bahi na iringa viwanja ilikua bei ya mserereko

3. Kwenye kiwanja ukianza kulipia kulikua na gharama za kuandaa hati, nmechukua mm viwanja viwili ila ss kuna kitu inaitwa Premium kimeongezwa na mwanzo hakikuepo kabisa na ni hela ndefu

4. Ni hongera system ukilipa mda huo huo chat inasoma.

Kama kuna mwenye kuongeza karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…