Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Soma vizuri mkuu.. ni miezi mitatu..
50% ndani ya siku 30
Next 50% ndani ya siku 60
Boss nna hose a sjakosea, ni utapeli. Sio kua ni miez 3 ishu ni control number unayo pewa ni ya mda gani? Kwe ye maelezo kule juu wanasema ni miez 3 wanajua control namba ya siku pungufu kumbuka usipomaliza kulipa ndani ya mda wa control number hela yako. Imeondoka system imakutka
 
Kumbe?
 
Unaona hapo mradi wa shinyanga iselemagazi control number ni ya siku 30, sasa ukifata maneno yao kua ni siku 90 ukaaxha kufata control number unajikuta imekua kwako. Na kuishtaki serikali mpaka ushindwe ni kaz
 

Attachments

  • Screenshot_20241217-001259.png
    187.1 KB · Views: 11
sasa ngoja wakushangaze uje kushangaa na roho yako. mweusi alishalaaniwa zamani sana mambo ya ovyoovyo hayaishi. ngoja uuziwe korongo.
 
Hapo unaambiwa unatakiwa kulipa ndani ya siku 90, kisha wa nakupa control number ya siku 14. So ukijichanganya umekwisha, unless ULIPE hela yote ndani ya siku 14.
 

Attachments

  • Screenshot_20241221-001633.png
    414.6 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…