SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana'watu'.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zalemda, sijasema hayo mie!2030 presidential candidate
NUKUU ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM) NDUGU. KENANI LABAN KIHONGOSI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO 27/07/2021
"Tunapenda kumpongeza Mhe Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama chetu Kwa namna ambavyo ameendelea Kufanya Kazi bila kuchoka na kuendelea kulinda Amani ya Nchi yetu, na sisi Vijana tupo pamoja naye kuhakikisha adhma ya serikali ya Awamu ya 6 inaenda kutimia"...
Ila Ma CCM ni Manafiki Jaman sijawahi kuona, kutoka kutukana watu wanaovaa Barakoa Mpaka na menyewe kuanza kuvaaDodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19...
. Ukweli unaumaAmetoa tuhuma nzito kwa Serikali nzima kuwa wamevuta mshiko toka kwa mabeberu.
Mkuu, zote kazi zake. Anaweza kuzipiga mix bila kero. Ni kama kemia na siasa, tiba mbadala na siasa, muziki na siasa; tumeshazoea kumixiwa.Aliongelea jimboni au kanisani?
Tusichanganye dini na siasa!
Hivi nyie si ndo mlikuwa mnasema hakuna corona enzi za mwendazake leo imekuajeMH.GWAJIMA NA TUHUMA NZITO MNO......
Ukimsikiliza vyema katika ile CLIP yake kuna sehemu amerudia mara mbili kumtaja Hayati JPM...."kuwa ni kwanini Sasa chanjo ije baada ya JPM kuaga dunia....alipoaga dunia tu,chanjo zimekuja"...
Ana hoja, ila kufa hata usipochanjwa kufa kupo pale pale, vinginevyo tutaendaje mbinguni sasa!
Hahaha Watu wana njaa mpaka vichwan angekuwepo mwendazake wangemuunga mkono.
Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19...
MH.GWAJIMA NA TUHUMA NZITO MNO......
Ukimsikiliza vyema katika ile CLIP yake kuna sehemu amerudia mara mbili kumtaja Hayati JPM...."kuwa ni kwanini Sasa chanjo ije baada ya JPM kuaga dunia....alipoaga dunia tu,chanjo zimekuja".....
Kauli hii ni ya hovyo kupindukia.....
Anataka AMCHAFUE RAIS SSH kwa "kumdogosha na kumfanya mwepesi kiuongozi" kwa kuwa HAYATI JPM ameacha LEGACY ya misimamo ISIYOYUMBA.....
MANENO HAYA NI MANENO MABOVU MNO KUTOLEWA NA MBUNGE TU DHIDI YA AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA
#GwajimaAfukuzweCCM
#KaziIendelee
#TujiandaeKuchanjwa
#JMTMilele
Yaache yauane, yote majambazi, yatwangane na risasi kabisa, sisi tunakaa pembeni tunashangilia