UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

Mikwara ya kichaa cha dogi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa vijana wamechanganyikiwa nadhani kama hawataki akanyage chato ,je chama chao kimeenzi falsafa za JPM kila mtu anao uhuru ,hizi zama za kujipendekeza ni uvivu wa akili
 
Ni aibu kubwa kwa wale chawa wote wanaotaka kuigawa Tanganyika vipande vipande.

Ni fahari isiyo kifani,shetani ameshindwa na mambo yake yote,Mungu karuhusu ukweli ,haki,upendo na mshikamano wa watanganyika kushika hatamu.

Muhimu watanganyika wamejua Mkapa aliuza dhahabu yetu kwa wazungu.
Kikwete aliuza gesi kwa wazungu.

Samia ameuza bandari zetu zote milele kwa waarabu wa Dubai.

Wanaojaribu kupenyeza hoja ya kijinga na dhaifu kupitia dini wanazidi kuaibika.

Ngongo kwasasa Sharjah.
 
Mzungumzaji anapiga biti huku akibabaika na kutetemeka, biti lenyewe analisoma akijing'ata inaonekana dhahiri kaandikiwa. Kuna baraka za wakubwa wao. Na kwa akili mbovu ya yule dc wa chato, sijui nani nani Katwale, lazima anahusika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…