UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

UVCCM wamekuwa Amri Jeshi mkuu.
Hii nchi kila mtu akitoa tamko tunaelekea kusiko julikana.
 
Hicho kiimbwa muda utaongea asisafiri kwenda nje ya chato watu hawatamuacha amefika hatua mbaya sana
 
Lissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
 
MTANZANIA ANA RUHUSA YA KWENDA POPOTE ILI MRADI AVUNJI SHERIA
HEBU JITOKEZENI HADHANI MJULILANE
 
 
Kidiplomasia na ushirikiano wa kitaifa, hii sio nzuri uvccn ina vijana wenye akili ndogo sana.

Huwezi kumkataza mtu ambaye ni Mtanzania kwenda popote pale nchi ndani ya Tanzania hii, tena kwa kuongea na vyombo vya habari kabisa.
 
Hivi mtu unaenda Chato kutafuta nini huu mji ungeachwa ufe na historia yake ya kuwahi kutoa mtu wa hovyo kama hovyo wengine tu.
 
Sheria za nchi zinasemaje kuhusiana na hilo?
Je viongozi waandamizi wa CCM taifa hayo ndio maagizo yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…